Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Upo serious na huduma yako?Nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo serious na huduma yako?Nyumbani.
😂😂😂😂😂😂Mimi naona ili upate faida katika biashara ya kuuza vocha yakupaswa utengeneze vocha zako wewe mwenyewe ghetto
Daah kwaio SI tukifa we Ndo faida Yako13. Kuuza majeneza, sanda, na ufundi wa kujenga na kukarabati makaburi (hii inalipa sana japo inategemea na msimu na eneo ulilopo ila kwa upande wangu hii biashara imenitoa mbali sana kiasi kwamba nikikumbuka enzi hizo nilikuwaga mwizi wa mafuta ya transformers halafu kazi ilikuwa hatari kufa au kukamatwa wakati huo pesa yenyewe shida !
Ila tangu mwaka nilioamua kuingia kwenye hii biashara ya majeneza nimefanikiwa kiasi kikubwa sana japo nimepitia changamoto kubwa kama kipindi kile Corona inaingia nchini wakasema itaua watu wengi sana mwanaume nikaona niitumie hii fursa nikaingia bank nikakopa milioni kadhaa ili niwekeze nikaandaa mzigo mkubwa wa majeneza lakini badala yake corona haikuwa na madhara makubwa kama tulivyoaminishwa matokeo yake nikajikuta nashindwa kulipa marejesho ya mkopo kwa wakati nikalazimika kuuza kagari kangu nikapunguza deni ila namshukuru Mungu kwa sasa biashara iko poa na nimefanikiwa kuwa na branches kadhaa hapa Dom na Dar.
Maisha ni kupambana hivyo ukiona sehemu kuna fursa itumie sio unakaa kulaumu serikali maisha magumu
Maanisha hivi unakodi camera SIO kununua kaka maana kukodi ni elf 20 mpk 30 kma unajuana na mtu mwenye camera SIO kununuaBei ya Camera unaijua? Kwa mtaji wa laki moja unapata camera gan mkuu?
Bei gani kwa kilo ya nguo?Anayehitaji huduma ya kufuliwa nguo, nipo hapa.
Bei maelewano.Bei gani kwa kilo ya nguo?
Njoo pm tuyajengeBei maelewano.
SawaNjoo pm tuyajenge
Nyumbani burigi au wapi?Nyumbani.
Hiyo gari utakayo nunua itakupatia pesa??au unanunua kwakuwa umechoka kupanda piki piki watanzania sijui nani aliyeturoga,yani tunafikiri nje ya boksi kabisaHabari zenu makamamda, jamaan mm sijawah kumilik gar lakin nna mpango wa kununua walau nami nipate usafir maana nmechoka kutumia pkpj, ila naombeni ushaur maana nazipenda gar iz TOYOTA OPPA na TOYOTA VOLTZ, ila lengo langu ninunue mtaan maana sina hela ya kuingia yard,,wataalamu naombeni uzuri na ubaya wa hizo chuma please, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
au wewe mwenyewe uwe vochaMimi naona ili upate faida katika biashara ya kuuza vocha yakupaswa utengeneze vocha zako wewe mwenyewe ghetto
Tuliopo mikoaniAnayehitaji huduma ya kufuliwa nguo, nipo hapa.
😂😂😂Ndugu faida ya kuuza vocha unaijua ?
Oyaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naona ili upate faida katika biashara ya kuuza vocha yakupaswa utengeneze vocha zako wewe mwenyewe ghetto
Mimi nakumbuka niliuza vocha na peni enzi za chuo.... Aisee vocha ina faida kidogo sana alafu na ww ukiishiwa vocha unajiungisha umoumo ni balaa tupu....Nikaachana nayo.Miak 10, iliyopita nilishawahi kufanya biashara ya kuuza vocha faida ilikua tsh 50-100 inahitaji moyo mgumu maana ukijichanganya tu umekula mtaji
.Umenikumbusha mbali