Biashara 12 zinazolipa, zinazohitaji mtaji chini ya 100,000

Biashara 12 zinazolipa, zinazohitaji mtaji chini ya 100,000

Habari zenu makamamda, jamaan mm sijawah kumilik gar lakin nna mpango wa kununua walau nami nipate usafir maana nmechoka kutumia pkpj, ila naombeni ushaur maana nazipenda gar iz TOYOTA OPPA na TOYOTA VOLTZ, ila lengo langu ninunue mtaan maana sina hela ya kuingia yard,,wataalamu naombeni uzuri na ubaya wa hizo chuma please, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
13. Kuuza majeneza, sanda, na ufundi wa kujenga na kukarabati makaburi (hii inalipa sana japo inategemea na msimu na eneo ulilopo ila kwa upande wangu hii biashara imenitoa mbali sana kiasi kwamba nikikumbuka enzi hizo nilikuwaga mwizi wa mafuta ya transformers halafu kazi ilikuwa hatari kufa au kukamatwa wakati huo pesa yenyewe shida !
Ila tangu mwaka nilioamua kuingia kwenye hii biashara ya majeneza nimefanikiwa kiasi kikubwa sana japo nimepitia changamoto kubwa kama kipindi kile Corona inaingia nchini wakasema itaua watu wengi sana mwanaume nikaona niitumie hii fursa nikaingia bank nikakopa milioni kadhaa ili niwekeze nikaandaa mzigo mkubwa wa majeneza lakini badala yake corona haikuwa na madhara makubwa kama tulivyoaminishwa matokeo yake nikajikuta nashindwa kulipa marejesho ya mkopo kwa wakati nikalazimika kuuza kagari kangu nikapunguza deni ila namshukuru Mungu kwa sasa biashara iko poa na nimefanikiwa kuwa na branches kadhaa hapa Dom na Dar.
Maisha ni kupambana hivyo ukiona sehemu kuna fursa itumie sio unakaa kulaumu serikali maisha magumu
Daah kwaio SI tukifa we Ndo faida Yako
 
Kutembeza watalii lazima ujue ngeli kidogo,sio mzungu anakuambia why lion from manyara national Park climbing tree unabaki kushangaa,tour guide sio mchezo inahitaji uwe na elimu ya vitu vingi kichwani,tips haziji kijinga kijinga more informations more tips,naijua,nilisomea,nilifanya na bado natarajia kutia kambi kabisa tour guide kazi nzuri sana
 
Habari zenu makamamda, jamaan mm sijawah kumilik gar lakin nna mpango wa kununua walau nami nipate usafir maana nmechoka kutumia pkpj, ila naombeni ushaur maana nazipenda gar iz TOYOTA OPPA na TOYOTA VOLTZ, ila lengo langu ninunue mtaan maana sina hela ya kuingia yard,,wataalamu naombeni uzuri na ubaya wa hizo chuma please, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hiyo gari utakayo nunua itakupatia pesa??au unanunua kwakuwa umechoka kupanda piki piki watanzania sijui nani aliyeturoga,yani tunafikiri nje ya boksi kabisa
 
Miak 10, iliyopita nilishawahi kufanya biashara ya kuuza vocha faida ilikua tsh 50-100 inahitaji moyo mgumu maana ukijichanganya tu umekula mtaji

.Umenikumbusha mbali
Mimi nakumbuka niliuza vocha na peni enzi za chuo.... Aisee vocha ina faida kidogo sana alafu na ww ukiishiwa vocha unajiungisha umoumo ni balaa tupu....Nikaachana nayo.
 
Back
Top Bottom