Biashara 12 zinazolipa, zinazohitaji mtaji chini ya 100,000

Habari zenu makamamda, jamaan mm sijawah kumilik gar lakin nna mpango wa kununua walau nami nipate usafir maana nmechoka kutumia pkpj, ila naombeni ushaur maana nazipenda gar iz TOYOTA OPPA na TOYOTA VOLTZ, ila lengo langu ninunue mtaan maana sina hela ya kuingia yard,,wataalamu naombeni uzuri na ubaya wa hizo chuma please, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Daah kwaio SI tukifa we Ndo faida Yako
 
Kutembeza watalii lazima ujue ngeli kidogo,sio mzungu anakuambia why lion from manyara national Park climbing tree unabaki kushangaa,tour guide sio mchezo inahitaji uwe na elimu ya vitu vingi kichwani,tips haziji kijinga kijinga more informations more tips,naijua,nilisomea,nilifanya na bado natarajia kutia kambi kabisa tour guide kazi nzuri sana
 
Hiyo gari utakayo nunua itakupatia pesa??au unanunua kwakuwa umechoka kupanda piki piki watanzania sijui nani aliyeturoga,yani tunafikiri nje ya boksi kabisa
 
Miak 10, iliyopita nilishawahi kufanya biashara ya kuuza vocha faida ilikua tsh 50-100 inahitaji moyo mgumu maana ukijichanganya tu umekula mtaji


.Umenikumbusha mbali
Mimi nakumbuka niliuza vocha na peni enzi za chuo.... Aisee vocha ina faida kidogo sana alafu na ww ukiishiwa vocha unajiungisha umoumo ni balaa tupu....Nikaachana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…