Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Biashara ambayo hautokaa upate hasara

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa.

Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani?

“Biggest investment you make is to invest in your head”

Hakuna biashara mbaya au nzuri ishu ni kuwa na taarifa sahihi na maarifa sahihi na hayo utayapata kwa kujifunza kupitia vitabu, blogs, social media na youtube au kulipia seminars.

Mimi my current business idea niliipata Kenya nilipoenda kujifunza na nilitumia 500k yangu niliyokuwa nayo kwenda Nairobi kujifunza .

This year alone i have made $50k

Never ask again “nina kiasi xxx niwekeze kwenye biashara gani?”

Hudhuria semina,soma vitabu,soma blogs,social media lakini pia safiri kajifunze nchi zilizoendelea

Hakuna mtu aliepata hasara baada ya kupata maarifa.
 
Hujaeleweka kabisa yani [emoji848][emoji848][emoji848]
JamiiForums1460173009.gif
 
Hata nchi tunajidanganya tuna madini, gas na Maliasili lakini hatuendelei na kufaidika navyo Kwa sababu hatujawekeza kichwani. Hiyo ndio rasirimali muhimu sana kuliko madini na vitu vingine.

Wananchi wakiwa vizuri kichwani, mengine yote hayashindikani.
 
Hata nchi tunajidanganya tuna madini, gas na Mali asili lakini hatuendelei na kufaidika navyo Kwa sababu hatujawekeza kichwani. Hiyo ndio rasirimali muhimu sana kuliko madini na vitu vingine.

Wananchi wakiwa vizuri kichwani, mengine yote hayashindikani.

True .utajili wa nchi ni maarifa sio rasilimali
 
Kaombe upige lecture vyuoni huko,ambako serikali inatumia pesa nyingi kuwekeza kwenye vichwa vya watu,halafu inawaacha mitaani wakitegemea watatumia maarifa waliyopata,kuvuna pesa.
Mkuu maarifa bila raslimali fedha,kutoka kwenye mnyororo wa umaskini ni kazi sana,wengi hadi wabahatishe,ndiyo watoke,na wakitoka wanaanza kuona wenzao kama hawana akili.
 
Maarifa ndio msingi.

Lakini tutoe tongo tongo ni Biashara gani yenye return nzuri namna hiyo ili ikiwezekana tuitafutie maarifa.

$50000 kwa mwaka (kama milioni 117 hivi, yaani inaingiza milioni 9 kwa mwezi.)

Tutoe tongo tongo tafadhari.
 
Hata nchi tunajidanganya tuna madini, gas na Mali asili lakini hatuendelei na kufaidika navyo Kwa sababu hatujawekeza kichwani. Hiyo ndio rasirimali muhimu sana kuliko madini na vitu vingine.

Wananchi wakiwa vizuri kichwani, mengine yote hayashindikani.
Hatujaamua tu kununua mitambo ya kuchimbia
 
Back
Top Bottom