MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa.
Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani?
“Biggest investment you make is to invest in your head”
Hakuna biashara mbaya au nzuri ishu ni kuwa na taarifa sahihi na maarifa sahihi na hayo utayapata kwa kujifunza kupitia vitabu, blogs, social media na youtube au kulipia seminars.
Mimi my current business idea niliipata Kenya nilipoenda kujifunza na nilitumia 500k yangu niliyokuwa nayo kwenda Nairobi kujifunza .
This year alone i have made $50k
Never ask again “nina kiasi xxx niwekeze kwenye biashara gani?”
Hudhuria semina,soma vitabu,soma blogs,social media lakini pia safiri kajifunze nchi zilizoendelea
Hakuna mtu aliepata hasara baada ya kupata maarifa.