Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Maarifa, utaalam, upeo wa mambo na uelewa hupelekea kufanya maamuzi sahihi Kwa wakati unaofaa. Hapo ndio kiini Cha hii mada, ukiona unapeleka maarifa au hauliewewi jambo vizuri, wekeza kupata hayo maarifa na ujuzi, hautapata hasara.
Kwa miradi binafsi ya mtu mmoja mmoja, maarifa ni muhimu; lakini pia wapo wenye mitaji na wana wazo la kufanya mradi fulani, kwa kuwaajiri vijana wenye hayo maarifa kuutekeleza.
 
Utapata maarifa unakuja mjini unasubiriwa na TRA uchangie nao hayo maarifa kwenye kodi. Kaka mimi nilishasomea kila maarifa biashara ni songombingo
 
Hakuna mtu aliepata hasara baada ya kupata maarifa
Hii Kama Ina ukweli Kama sio una kozi ama vitabu unauza na kutaka kuvuta followers wengi ili uzidi kupiga hela. Mana ulivyoweka hiyo figure kwa sie tunadili na nature ya mind/brain ya binadamu naweza nikaandika hapa mpaka kesho.

Kwanza unataka uwa stimulate watu emotions zao like greed ,and curious kutaka kujua,smt unamtoa rational mind ,then akiwa na irrational or emotionally anapigwa aka anafanywa fursa.

Kitalaamu kusema kipato hadharani ki ethics sio kabisa kwa mtu aliyesoma akawa na maarifa Kama uyasemayo. Mana kutuambia outcome haisadii labda process ndio inayosaidia Mana outcome can random.

Hebu elezea why utoe outcome badala ya process ,na process inakuwa your secret ama Ni harakati za ego inakuendesha unaji boast na unajisikia you can walk on water or kupaa Kama ndege kuwa wengine Ni wajinga.

Kuna yule dogo aliwekaga salio la bank mtandaoni huko twita. Sasa nikasema ngoja na akina Warren Buffet aweke akaunti mtandaoni salio lake ili awa motivate watu ama ma hustlers.

Sija attack Bali nachimba subconscious mind ambayo almost of our 95% of our decisions are being influenced na iyo na sio concious mind.
We're talking about mind including my mind since am normal human being am animal thus am not vulnerable to that human flaws,am not inescapable from our human flaws,am susceptible or subjected too to human weakness like any other human beings.am not special. So let us dig our mind how is doing the whole day decision.

Najua usiponipata nitapata matusi na lugha chafu,ma already prepared mentally so nikiyapata no more pains. Am already immunized my mind from any external interference, I know that if I allow an enemy to enter my mental space the battle is already lost.
Since the greatest in this planet is to conquer my own mind and not the victory from beating and killing 10M soldiers. External victory is temporary but internal victory is permanent.


Twende kazi ama tuongee kuchakata mbususu Mana mind is highly gravitate/attracted to pleasure and highly repelled from pains by any means.
We're talking brain and not you and me. But our mind that we inherited from our mother nature or from ancestors caveman brain. That's reacted fast to any threatened danger to survive. Amin love with human brain.
 
Kwa miradi binafsi ya mtu mmoja mmoja, maarifa ni muhimu; lakini pia wapo wenye mitaji na wana wazo la kufanya mradi fulani, kwa kuwaajiri vijana wenye hayo maarifa kuutekeleza.

Uko sahihi kabisa, kwanza mtu kufikia kuwa na huo mtaji ujue Yuko vizuri kwenye eneo flani. Pili, hata kama hafanyi biashara anaweka wengine wasimamie, lazima awe na maarifa flani ya kujua watu wa aina Gani wake wapi na kitu Gani kisimamiwe na mtu mwenye sifa zipi n k.

Suala la maarifa Lina kua kuanzia ngazi ya mtu binafsi, familia, kikundi, biashara, taasisi Hadi kufikia nchi.
 
Maarifa ni upuuzi mtu, we need really idea na action.
Usitoe lugha chafu haijengi. Uko sawa kuwa action and idea ndio vinahitajika Ila lazima uwe na knowledge aka maarifa labda. Sasa nakupa idea ya kumeki phone ,iyo Ni idea take action mana Tayari idea unayo. Idea nyingine fanya packaging ya korosho,karanga or unga wa cassava kauze German Kuna waghana wanauza si maarifa Ni upuuzi,ama una mapokeo mabaya na neno maarifa.


Nikupe idea nyingine lete machine ya kukata karatasi umeki ream paper hapa hapa home uuze mpaka nchi jirani.


Idea nyingine fanyia usafi wa Hali ya juu wa mahindi saga package uzia wakenya shirikiana na waziri husika kuwa hatuuzi mahindi Bali Ni unga Kama hawataki acheni ili tubakie na pumba, mashine za kusaga umeme na kazi wapate watanzania wenzetu. Chonga na waziri analipeleka kwa raisi unalindwa so wewe kazi yako kuwauzia unga halafu pumba si unajua kazi yake lakini. Pia na viwanda vya mifuko Ajira zitazalishwa Mana tutahitaji mifuko for packaging.


Just idea and actions
 
Katika mradi wowote wa uzalishaji unasehemu kuu tatu, ambazo zinahitaji uwekeze nguvu ili uweze kupata faida:-

MALIGHAFI - UZALISHAJI - MASOKO
  • Unatakiwa upambane unavyoweza upate malighafi bora kwa bei ya chini
  • Na uzalishe bidhaa zilizo bora kwa gharama ndogo
  • Na uwekeze nguvu nyingi kuitafutia mauzo bidhaa ulizozalisha kwa kuitangaza n.k
Wengi tayari wana hayo maarifa
 

Sasa hao Wana shida nyingine mkuu. Maarifa na uelewa wa jambo ni zaidi ya kujua abc za jambo kama ilivyoelezwa hapo juu.

Ukiona mtu anaujuzi na utaalam wote wa kupika chakula, na anapata shida ya njaa wakati vitu na mahitaji tapo, Kuna mashaka na hayo maarifa yake.
 
Ni lazima na muhimu hh sana kuwa na skills set! Ukihitaji kujiajiri, kuwekeza hata kuajiriwa
 

Mimi biashara yangu haidili na muafrica hata mmoja .dont waste your time
 
Wewe mwenyewe unatangaza biashara ya semina na isiyo na faida
 

Most of poor people are arogant (wajuaji).

Uzuri sisi tunasema wakiacha sisi tunaendelea kutumbua pesa.
 
Utapata maarifa unakuja mjini unasubiriwa na TRA uchangie nao hayo maarifa kwenye kodi. Kaka mimi nilishasomea kila maarifa biashara ni songombingo

Hujapata maarifa sasa.Harafu nakushauri ondoa negativity kwenye mindset yako.


“I never met successful pessmist”
 

Mimi siamini kwenye bahati.mimi naamini kwenye kutafuta maarifa na kuwa the best in the world at what i do.then money will follow

Bahati ni kuwa na afya njema tu vingine ni kupambana.
 
Maarifa ndio msingi.

Lakini tutoe tongo tongo ni Biashara gani yenye return nzuri namna hiyo ili ikiwezekana tuitafutie maarifa.

$50000 kwa mwaka (kama milioni 117 hivi, yaani inaingiza milioni 9 kwa mwezi.)

Tutoe tongo tongo tafadhari.

Siwezi sema.mtasema nataka kuwatapeli watu


Kila mtu apambane na hali yake.


Kama mtu wa kufanikiwa ashaelewa kitu cha kufanya ni “kuwekeza kwenye maarifa”.

Sio kuingia kwenye business kichwakichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…