Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

nunua pooltable tafuta seh uliweke kila siku utakua na uhakika wa kuingiza 10
 
Tafuta line za uwakala, tigo pesa na mpesa, wanafunzi huwa wanakaa na hela zao kwenye simu so utapiga hela sana hapo hostel na chuoni
 
Ni biashara gan mwanafunz wa chuo anaweza fanya akiwa bado anasoma chuo
 
Iategemea na chuo. Kma unaweza kunua vitu vidogo kariakoo na kuuza. sasa itategemea na chuo mahali kilipo na aina ya lifestyle ya wanafunzi wa chuo husika
 
Swear vile nilivyoöna tu heading (Bsnes) nilijua tu huyu atakua New member, nikafungua na kweli nikaona nilichotarajia, m nilikuaga na centre ya salad na juice, fuata ushaur wa member hapo juu
 
Forex me nahisi itafaa kabisa ndo maana nimejifunza sana na naendelea kujifunza hadi likizo iishe nikianza chuo niwe na pakuanzia .
 
Forex chuo??? Apaa kudisco nje nje
Nina rafiki zangu wawili., Mmoja huyu nakumbuka ile boom limetoka akatia kama Dollar150 kwenye account yake ila alipata tabu sana.Aliunguza account yote.

Kuna huyu mwingine semester ya pili alipostpone mwaka baada ya kupiga pesa nasikia kama 35M .
Sema huyu kwao wakishua sana usije ukaiga .

NB😀o at your own risk
 
Njia nyingine ni Freelancing, kutokana kitu unachosoma chuo, unaweza ukaanza kafanya freelancing. Tatizo ni jinsi ya kupata wateja au watu unaoweza kuwafanyia hizo kazi. Kuna platform (website na app) imeanzisha bongo ya freelancing. Ingawa bado mpya (imeanza jumatatu tarehe 17 Sep) lakini nadhani ina potential kubwa sana. Inaitwa ajiras.com

Inachofanya, una register kama seller na kupost kazi yoyote unayoweza fanya na bei yako ikoje. Kuna sehemu ya kuchat ambapo negotiations zina weza fanyika. Watu wanayohitaji hiyo huduma watakutafuta na kununua. Imetengenezwa maalamu kusaidia kupunguza tatizo la ajira Tanzania. Icheki inaweza kukuvusha.
 
Mi niliuzaga earphone na nikawa dalali wa laptop nilipataje mahela
 
wakuu mie ni university student nina miaka 21...nataka pata mawazo ya jinsi ya kuishi chuo huku nafanya kitu cha kuingiza pesa....yaan kitu ambacho kitanipa pesa wakati bado nasoma....nina mtaji wa 500K.....wale walio fanya hivyo wakati wapo chuo wanaweza toa ushauri wao ni kitu gani naweza fanya ...na kwale ambao ni wafanya biashara ushauri wao ni wa muhimu sana kwanguu....hapa lengo ni kupata wazo la biashara.....nawasilisha..
note:chuo kipo iringa town
 
Kwa experience yangu niliyoona chuoni ....wanafunzi wengi hufanya biashara ya nguo,viatu hasa kwa wadada na mara nyingi ni kipindi cha boom(fedha za kujikimu zikitoka).

So uwe makini na biashara yako utayochagua maana wanachuo hawana hela saaana ...
 
Kwa experience yangu niliyoona chuoni ....wanafunzi wengi hufanya biashara ya nguo,viatu hasa kwa wadada na mara nyingi ni kipindi cha boom(fedha za kujikimu zikitoka).

So uwe makini na biashara yako utayochagua maana wanachuo hawana hela saaana ...
i will keep this in my mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…