Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii idea kama tamu hivi explain zaidi kwanzanunua pooltable tafuta seh uliweke kila siku utakua na uhakika wa kuingiza 10
Forex chuo??? Apaa kudisco nje njeForex me nahisi itafaa kabisa ndo maana nimejifunza sana na naendelea kujifunza hadi likizo iishe nikianza chuo niwe na pakuanzia .
Nina rafiki zangu wawili., Mmoja huyu nakumbuka ile boom limetoka akatia kama Dollar150 kwenye account yake ila alipata tabu sana.Aliunguza account yote.Forex chuo??? Apaa kudisco nje nje
Iringaaa...Hujasema Chuo kipo wapi anyway. Kama upo dar nenda kariakoo tafuta bidhaa ambazo unaweza kuwauzia wanachuo wenzako.
i will keep this in my mindKwa experience yangu niliyoona chuoni ....wanafunzi wengi hufanya biashara ya nguo,viatu hasa kwa wadada na mara nyingi ni kipindi cha boom(fedha za kujikimu zikitoka).
So uwe makini na biashara yako utayochagua maana wanachuo hawana hela saaana ...