Best Creation
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 222
- 204
inatosha kweli hio hela nilio sema hapooStationary na photo copier ndogo chumbani pamoja na printer lakini ukubali usumbufu
Nunua note books pens plastic paper wallets etc
Unaweza anza na printer wasiopenda kwenda library au utawapatainatosha kweli hio hela nilio sema hapoo
thanks... nitatafuta taarifa zaidi....nione kama inaweza kuwa best optionUnaweza anza na printer wasiopenda kwenda library au utawapata
chakulaa...how??Biashara ya chakula pia iko poa
Hapa kuna aina mbilichakulaa...how??
sounds great...but this ....no thank you....Hapa kuna aina mbili
1. Mchele unaufunga kwenye pack ya kilo 1,2,3,au 5 unauza kwa wanafunzi na mama ntilie walio karibu
2. Unapika wali maharage, mchicha na nyama kidogo unaweka kwenye plastic container unavizia watu wakati ka darasani container unauza 1,000
Kuna dada wa Kisomali alianza na kilo mbili za nyama ya mbuzi mwisho aliuza mbuzi mzima kwa siku.sounds great...but this ....no thank you....
sisemi hailipi dada angu ..kitchen stuffs sipoo vzuriii sanaa..afu sina passion nayooo kabisaa yaanKuna dada wa Kisomali alianza na kilo mbili za nyama ya mbuzi mwisho aliuza mbuzi mzima kwa siku.
Ana endesha gari, anatime wanafunzi wanatoka darasani container anaziweka kwenye cooler box
1,000 vijana wananunua kuliko usumbufu wa kwenda kupika
I get you.sisemi hailipi dada angu ..kitchen stuffs zipoo vzuriii sanaa..afu sina passion nayooo kabisaa yaan
kwa wanafunzii...Right???Kopesha hiyo hela kwa riba
kwa wanafunzii...Right???
ukipataa idea nyengine...don't hesitate kuiwekaa hapa..thank you for being ready to help out..i appreciate thatI get you.
i will go out for more informations...[emoji120] [emoji120]Yap,unakopesha kwa watu unaowaamini na mnaansikishana kizuri zaidi unaweza shirikisha mamlaka ya chuo kama dean for more evidence
i will go out for more informations...[emoji120] [emoji120]
You mean more security?Yap,unakopesha kwa watu unaowaamini na mnaansikishana kizuri zaidi unaweza shirikisha mamlaka ya chuo kama dean for more evidence
You mean more security?
mdogoo???Kufungua mobile money around university environmental ni poa ila kwa mtaji wako not suitable