Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Hapa kuna aina mbili
1. Mchele unaufunga kwenye pack ya kilo 1,2,3,au 5 unauza kwa wanafunzi na mama ntilie walio karibu

2. Unapika wali maharage, mchicha na nyama kidogo unaweka kwenye plastic container unavizia watu wakati ka darasani container unauza 1,000
sounds great...but this ....no thank you....
 
Kuna dada wa Kisomali alianza na kilo mbili za nyama ya mbuzi mwisho aliuza mbuzi mzima kwa siku.
Ana endesha gari, anatime wanafunzi wanatoka darasani container anaziweka kwenye cooler box
1,000 vijana wananunua kuliko usumbufu wa kwenda kupika
sisemi hailipi dada angu ..kitchen stuffs sipoo vzuriii sanaa..afu sina passion nayooo kabisaa yaan
 
Back
Top Bottom