kuuza kondomuNi biashara gan mwanafunz wa chuo anaweza fanya akiwa bado anasoma chuo
Biashara kubwa ya wanafunzi wa chuo hasa wanawake ni ngono tuu, maji kidogo uko businessTafuta kijiwe cha chips,kinalipa sana,tenga 1M kwa kijiwe kimoja hii inajumuisha vifaa eneo na mtaji,kwa siku tegemea 20,000X30 hukosi laki sita so kila baada ya miezi 2 utakuwa na uhakika wa kufungua kijiwe kimoja kwa mwaka utakuwa unavijiwe 5 na uzoefu wa kutosha uhakika wa laki 1 na zaidi kwa siku utakuwepo so 3M kwa mwezi uhakika unamaliza chuo una kigari chako na mtaji wa kufanya mengine makubwa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hali yako vip ndugu.. hizo m3 ulizo teketeza siku ile una muda gan tena hujaona hata laki 3 hahahHiyo pesa unayohapo sasa hivi?
Njoo hapa mtaa wa MESSI UTAONA BAR IMEANDIKWA RONALDO,ingia ndani utamuona jamaa kavaa tshert imeandikwa Van Parse mezani kuna chupa17 za bia na mademu wa4 ndio mimi ili nikufundishe matumizi ya pesa kwanza kisha utajua namna ya kuitafuta.
Usichukue ela nyingi saaaaaaana!we chukua kitu kama laki6 tu,bcoz mm hapa nina kama v em v3 hivi vya kutumia leo.
Nilipokuwa chuoni nilikuwa naagiza speaker toka mikoani nauza kwa wanafunzi wenzangu ,
pia nilikuwa nalima karibu na chuo kwa sababu mzumbe zinastawi sana mboga mboga nilikodisha ardhi nikaanza kilimo cha nyaya na kinalipa sana
je upo chuo gani