Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Tafuta kijiwe cha chips,kinalipa sana,tenga 1M kwa kijiwe kimoja hii inajumuisha vifaa eneo na mtaji,kwa siku tegemea 20,000X30 hukosi laki sita so kila baada ya miezi 2 utakuwa na uhakika wa kufungua kijiwe kimoja kwa mwaka utakuwa unavijiwe 5 na uzoefu wa kutosha uhakika wa laki 1 na zaidi kwa siku utakuwepo so 3M kwa mwezi uhakika unamaliza chuo una kigari chako na mtaji wa kufanya mengine makubwa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Biashara kubwa ya wanafunzi wa chuo hasa wanawake ni ngono tuu, maji kidogo uko business
 
Habarini mabaharia wa huku ndichi natumaini mpo ogg rejea kichwa chahabar hapo fasi nimeona nlete Uzi huu ili kusaidia vijana waliomavyuoni kujitaftia kipato na mtaji iliwanapo maliza waweze kujiajiri
SWALI : je? Nifursagani anazoweza zifanya mwanachuo akiwa badoyupo chuo ili aweze kujikwamua kiuchumi ??
Tupia mchangowako hapo dawn unaweza okoa mtaaa nawashukuru sana wote watakao changia
 
Daah!! Anza na kujifunza kuandika kwanza. Mengine yatakuja yenyewe.
 
Kuuza vitu vya couple. Kama vile couple watches na vingine unaweza tafuta si unajua tena chuo new semester new couple
 
Uza phone accessories navifaa vyakielectronics mfano majagi yaumeme ila kumbuka usinunue kablahujapata mteja
Fungua watsap GRP lahapochuon tumabidhaa mtuakiihitaji unampa bei alafu unaenda kuichukua dukan kwabeirahc ukizoeleka wanakutafta wenyewe unawezatengeneza 10 kwasiku Mimi mwenyewe nafanya npo chuga
 
Hiyo pesa unayohapo sasa hivi?
Njoo hapa mtaa wa MESSI UTAONA BAR IMEANDIKWA RONALDO,ingia ndani utamuona jamaa kavaa tshert imeandikwa Van Parse mezani kuna chupa17 za bia na mademu wa4 ndio mimi ili nikufundishe matumizi ya pesa kwanza kisha utajua namna ya kuitafuta.
Usichukue ela nyingi saaaaaaana!we chukua kitu kama laki6 tu,bcoz mm hapa nina kama v em v3 hivi vya kutumia leo.
Hali yako vip ndugu.. hizo m3 ulizo teketeza siku ile una muda gan tena hujaona hata laki 3 hahah
 
Habari wana JF,

Naomba kuuliza kwa wale wazoefu, naomba ushauri ni biashara gani nzuri ambayo naweza kuifanya nikiwa chuoni. Ushauri wenu ni muhimu sana, pia nitashukuru na kuyafanyia kazi.

Asanteni.
 
Nilipokuwa chuoni nilikuwa naagiza speaker toka mikoani nauza kwa wanafunzi wenzangu ,

pia nilikuwa nalima karibu na chuo kwa sababu mzumbe zinastawi sana mboga mboga nilikodisha ardhi nikaanza kilimo cha nyaya na kinalipa sana
je upo chuo gani
 
kuuza boksa, chupi, kuuza ubuyu wa zanzibar, kuuza mapochi, kuuza bisi(popcorn) kuuza urembo wa wanawake(hereni, nk) kuuza vipodozi asilia manjano, scrub za asili, vitu vyote mtaji wake ni elfu 5 na kuendelea maximum hata elfu 20 unaanza biashara, vinaweza bebeka kwenye begi lako ukatembea navyo kokote. All the best
 
Me Niko TIA DSM ndugu yangu
Nilipokuwa chuoni nilikuwa naagiza speaker toka mikoani nauza kwa wanafunzi wenzangu ,

pia nilikuwa nalima karibu na chuo kwa sababu mzumbe zinastawi sana mboga mboga nilikodisha ardhi nikaanza kilimo cha nyaya na kinalipa sana
je upo chuo gani
 
Back
Top Bottom