ndo nlichokuwa nafanya mimiBiashara ya kufanya ukiwa chuoni huwa ni moja tu mkuu. KUSOMA KWA BIDII!
Angalia sana uwezo wako kabla hujajikita na kugawa muda wako. Watu huwa wanachanganya haya mambo na matokeo yake yote mawili yanashindwa!
Ukiishi kama mwanafunzi, uka control maisha yako na kujiweka kwenye nafasi ya mwanafunzi utatoboa ila ukitaka kuwa mwanafunzi lakini akili na spending kama za mfanyabiashara/mfanyakazi utajikuta unatawaliwa na ufanye biashara gani.
FOREX TRADINGHabari wana JF,
Naomba kuuliza kwa wale wazoefu, naomba ushauri ni biashara gani nzuri ambayo naweza kuifanya nikiwa chuoni. Ushauri wenu ni muhimu sana, pia nitashukuru na kuyafanyia kazi.
Asanteni.
Sio wote wanatokea familia bora kama yako kwamba atapata mahitaji yake yote bila hizo biashara ndogo ndogo, yani asipofanya hizo biashara ndogo ndogo hawezi kujikimu kwenye mahitaji yake na wengine ni passion tu na biashara. mfano nina passion na biashara nilivyokua chuo nimeuza nguo za kiume(wanaume sio wasumbufu) kadet, boksa,vest, mashati, ubuyu wa zanzibar, na nilivyoona pikipiki zinaingia nilimuomba mzee aninunulie pikipiki nikampa mtu kwa wiki napata elfu 50000, na hadi namaliza chuo ni mara chache sana nilirudi kwa mzee kumuomba pesa ya matumizi. Nimemaliza chuo nimeajiriwa na bado weekend ukinikuta na oda zangu za dagaa ninavyokimbizana na mabasi ya mikoani utanishangaa.Hujani crush ila mawazo yangu sio ya kimaskini nina hakika. Wakati nasoma sikufanya biashara nilisoma tu nikatumia muda kusoma na sasa mimi si masikini pia maana natumia muda kufanya kazi na biashara na si kusoma simple!
😂😂😂😂 jamaniKama umepanga geto hakikisha umenunua Flat Tv
nunua king'amuzi cha azam weka magetoni,
mechi za ligi kuu zikianza baba la baba Onyesha mechi kila mwana ataetaka kuja geto chaji jero
wajaze hadi kitandani, washindilie humo ndani vya kutosha,
Umeongea vema sanaSio wote wanatokea familia bora kama yako kwamba atapata mahitaji yake yote bila hizo biashara ndogo ndogo, yani asipofanya hizo biashara ndogo ndogo hawezi kujikimu kwenye mahitaji yake na wengine ni passion tu na biashara. mfano nina passion na biashara nilivyokua chuo nimeuza nguo za kiume(wanaume sio wasumbufu) kadet, boksa,vest, mashati, ubuyu wa zanzibar, na nilivyoona pikipiki zinaingia nilimuomba mzee aninunulie pikipiki nikampa mtu kwa wiki napata elfu 50000, na hadi namaliza chuo ni mara chache sana nilirudi kwa mzee kumuomba pesa ya matumizi. Nimemaliza chuo nimeajiriwa na bado weekend ukinikuta na oda zangu za dagaa ninavyokimbizana na mabasi ya mikoani utanishangaa.
umefurahi mwenyeweee 😂 😂😂😂😂😂 jamani
HII POST NI PUMBA.Sikia mzee baba
mimi nikiwa chuo biashara yangu kubwa ilikua ni kukodisha PAMBA KALI
Mimi nilitoka na nguo zangu kali zote home,yani siku naenda chuo nlienda na begi kama Mkimbizi
ila kichwani nilikua najua WHY,nimefika chuo nilichokifanya ni ku deal na masharobaro,hela hawana ila wanataka kupendeza
nakupa kiatu unaenda unapotaka unaniachia 5000 yangu,kofia,saaa,cheni,miwani hivyo vyote nilianza na Vyangu mwenyewe
na wala sikuanza na vya kununua maana sikua na hela, Hii biashara nilianza kama ku test tu maana nili iga kwa msela angu tulipokua advance ilikua ndio zake (yule mwamba kala hela zangu sana)
Nikajiapia nikifika chuo hii ndio itakua biashara yangu..So kuanzia nikiwa five nilikua nanunua viatu nguo,saa,kofia yani vile vitu ambavyo ukikiona lazima ukitamani.
Mzeee nimefika huko chuo Nilikua Q bOy msafi nakodisha nguo na hela ipo aseeee..
Piga hii ishu kama una viwalo vya kuanzia,ukiwa chuo acha urafiki mandazi
eti shost/mwana anakuja anakugongea nguo Aseee mwambie PESAAAAAAA
HII NAYO NI PUMBA INGINE.kINGINE Mzeee baba Geuka DOBI
chuo mijitu mivivu sana sana ,wewe ondoa usharobaro nunua mabeseni,nunua ndooo
vifaaa jikoki then ROOM yako andika pale Juuu DOBI yupo hapa,weka namba zako za simu
Baba unapokea nguo,unazifua usiku kama mchana huna kipindi lala pumzika,Usiku watu waliofua mchana
wameanua nguo woteeee wewe ndio muda unafua unajaza mikamba,BABA lakeeeee Utanikumbuka nakwambia.
HII LABDA KWA VYUO VYA HUKO KANTALAMBA,Jifanye kama Chizi flani hakikisha unakaaa hostel then
Nunua mabeseni makubwa ya kufulia ndoooo ndoooo then Kodisha
Usikose pipa la maji muraaa hakikisha pipa lako lina maji 24hrs
Chuo ipo day tu maji yatayumba,sasa maji yakiyumba wewe hiyo ndo siku unapiga bingo muraaa
yani uza ndooo zako pipa likiisha mfukoni unamkwanja mzuriiiii
HII ATAUZA SANA,Nunua vocha za kukwangua za uwezo wako
then jitangaze kuwa unauza vocha at any time mzeee Utanikumbuka
Laini yako hiyo unayoitumia yaweza kua unatumia tigo,voda,eatel
nenda tigo shop au eatel shop depend na mtandao wa simu unaotumia
Wambie wewe ni mfanya biashara unataka laini yako iunganishwe na huduma ya VOCHA ZA KURUSHA + vifurushi
hiyo huduma ni bure kabisa watakuunganisha laini yako itakua na uwezo wa kuuza vifurushi + rusha vocha
utakua ukifanya hiyo biashara Chuo aseee mkuuuu Vifurushi vina hela sikia tu kwa jirani nakwambia
HAPA ND'O UMEKUJA KUMPA MWONGOZO SASA.Nunua photocopy machine ndogo kaa nayo room kwako
Pigisha watu copy kla atae hitaji huduma,
baba la baba utakua na shida zoteeeee ila sio shda ya pesa ndogo ndogo.
Zikiibiwa jee?[emoji2]kINGINE Mzeee baba Geuka DOBI
chuo mijitu mivivu sana sana ,wewe ondoa usharobaro nunua mabeseni,nunua ndooo
vifaaa jikoki then ROOM yako andika pale Juuu DOBI yupo hapa,weka namba zako za simu
Baba unapokea nguo,unazifua usiku kama mchana huna kipindi lala pumzika,Usiku watu waliofua mchana
wameanua nguo woteeee wewe ndio muda unafua unajaza mikamba,BABA lakeeeee Utanikumbuka nakwambia.
ukianza tu jiuliza haya maswaliZikiibiwa jee?[emoji2]
By pessimist [emoji28]
sh 15 hadi sh 30 ni kwa vifurushi vya dakika kama extreme na Mini KabangHII ATAUZA SANA,
ILA FAIDA YAKE SIO YA KUITEGEMEA KUENDESHEA MAISHA.
VOCHA ZA KURUSHA FAIDA NI SH. 15/= HADI 30/= KWA KILA 500/=.
kwako ni ya kindeziHII LABDA KWA VYUO VYA HUKO KANTALAMBA,
SIO KWA DAR ES SALAAM.
HATA HIVYO MWANACHUO UJAZE PIPA LA MAJI UKAE NALO HOSTELI ETI USUBIRIE SIKU YAKATIKE ND'O UWAUZIE WENZIO NI IDEA YA KINDEZI!!!
huna akili hata za kuombea chumviHII NAYO NI PUMBA INGINE.
akili yako si umeazima,huwezi elewa kituHII POST NI PUMBA.
umeambiwa anaendesha maisha huko chuo?HII ATAUZA SANA,
ILA FAIDA YAKE SIO YA KUITEGEMEA KUENDESHEA MAISHA.
VOCHA ZA KURUSHA FAIDA NI SH. 15/= HADI 30/= KWA KILA 500/=.
That good broo ivi tigopesa unaweza fungua kwa bei gan?Kama upo TIA karibu mbagala hapa tupeane mawazo, tatizo la biashara nyingi wanazofanyaa wanachuo huko chuoni hazina future unakuta boom likikata nayo imekata akienda likizo imekufa alimaliza chuo ndio zinakufa kabisa inakuwa Kazi bule...nashauri fanya biaashara yenye ofisi mfano uwakala hapo naeneo yanje ya chuo unaweka kibanda nk ukicheza kamari vizuri utakuta unamaliza una vibanda vitatu.