Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Biashara ya kufanya ukiwa chuoni huwa ni moja tu mkuu. KUSOMA KWA BIDII!

Angalia sana uwezo wako kabla hujajikita na kugawa muda wako. Watu huwa wanachanganya haya mambo na matokeo yake yote mawili yanashindwa!

Ukiishi kama mwanafunzi, uka control maisha yako na kujiweka kwenye nafasi ya mwanafunzi utatoboa ila ukitaka kuwa mwanafunzi lakini akili na spending kama za mfanyabiashara/mfanyakazi utajikuta unatawaliwa na ufanye biashara gani.
ndo nlichokuwa nafanya mimi
 
Habari wana JF,

Naomba kuuliza kwa wale wazoefu, naomba ushauri ni biashara gani nzuri ambayo naweza kuifanya nikiwa chuoni. Ushauri wenu ni muhimu sana, pia nitashukuru na kuyafanyia kazi.

Asanteni.
FOREX TRADING
 
Hujani crush ila mawazo yangu sio ya kimaskini nina hakika. Wakati nasoma sikufanya biashara nilisoma tu nikatumia muda kusoma na sasa mimi si masikini pia maana natumia muda kufanya kazi na biashara na si kusoma simple!
Sio wote wanatokea familia bora kama yako kwamba atapata mahitaji yake yote bila hizo biashara ndogo ndogo, yani asipofanya hizo biashara ndogo ndogo hawezi kujikimu kwenye mahitaji yake na wengine ni passion tu na biashara. mfano nina passion na biashara nilivyokua chuo nimeuza nguo za kiume(wanaume sio wasumbufu) kadet, boksa,vest, mashati, ubuyu wa zanzibar, na nilivyoona pikipiki zinaingia nilimuomba mzee aninunulie pikipiki nikampa mtu kwa wiki napata elfu 50000, na hadi namaliza chuo ni mara chache sana nilirudi kwa mzee kumuomba pesa ya matumizi. Nimemaliza chuo nimeajiriwa na bado weekend ukinikuta na oda zangu za dagaa ninavyokimbizana na mabasi ya mikoani utanishangaa.
 
Kama umepanga geto hakikisha umenunua Flat Tv

nunua king'amuzi cha azam weka magetoni,

mechi za ligi kuu zikianza baba la baba Onyesha mechi kila mwana ataetaka kuja geto chaji jero

wajaze hadi kitandani, washindilie humo ndani vya kutosha,
😂😂😂😂 jamani
 
Sio wote wanatokea familia bora kama yako kwamba atapata mahitaji yake yote bila hizo biashara ndogo ndogo, yani asipofanya hizo biashara ndogo ndogo hawezi kujikimu kwenye mahitaji yake na wengine ni passion tu na biashara. mfano nina passion na biashara nilivyokua chuo nimeuza nguo za kiume(wanaume sio wasumbufu) kadet, boksa,vest, mashati, ubuyu wa zanzibar, na nilivyoona pikipiki zinaingia nilimuomba mzee aninunulie pikipiki nikampa mtu kwa wiki napata elfu 50000, na hadi namaliza chuo ni mara chache sana nilirudi kwa mzee kumuomba pesa ya matumizi. Nimemaliza chuo nimeajiriwa na bado weekend ukinikuta na oda zangu za dagaa ninavyokimbizana na mabasi ya mikoani utanishangaa.
Umeongea vema sana
 
Sikia mzee baba

mimi nikiwa chuo biashara yangu kubwa ilikua ni kukodisha PAMBA KALI

Mimi nilitoka na nguo zangu kali zote home,yani siku naenda chuo nlienda na begi kama Mkimbizi

ila kichwani nilikua najua WHY,nimefika chuo nilichokifanya ni ku deal na masharobaro,hela hawana ila wanataka kupendeza

nakupa kiatu unaenda unapotaka unaniachia 5000 yangu,kofia,saaa,cheni,miwani hivyo vyote nilianza na Vyangu mwenyewe

na wala sikuanza na vya kununua maana sikua na hela, Hii biashara nilianza kama ku test tu maana nili iga kwa msela angu tulipokua advance ilikua ndio zake (yule mwamba kala hela zangu sana)

Nikajiapia nikifika chuo hii ndio itakua biashara yangu..So kuanzia nikiwa five nilikua nanunua viatu nguo,saa,kofia yani vile vitu ambavyo ukikiona lazima ukitamani.

Mzeee nimefika huko chuo Nilikua Q bOy msafi nakodisha nguo na hela ipo aseeee..

Piga hii ishu kama una viwalo vya kuanzia,ukiwa chuo acha urafiki mandazi

eti shost/mwana anakuja anakugongea nguo Aseee mwambie PESAAAAAAA
HII POST NI PUMBA.
 
kINGINE Mzeee baba Geuka DOBI

chuo mijitu mivivu sana sana ,wewe ondoa usharobaro nunua mabeseni,nunua ndooo

vifaaa jikoki then ROOM yako andika pale Juuu DOBI yupo hapa,weka namba zako za simu

Baba unapokea nguo,unazifua usiku kama mchana huna kipindi lala pumzika,Usiku watu waliofua mchana

wameanua nguo woteeee wewe ndio muda unafua unajaza mikamba,BABA lakeeeee Utanikumbuka nakwambia.
HII NAYO NI PUMBA INGINE.
 
Jifanye kama Chizi flani hakikisha unakaaa hostel then

Nunua mabeseni makubwa ya kufulia ndoooo ndoooo then Kodisha

Usikose pipa la maji muraaa hakikisha pipa lako lina maji 24hrs

Chuo ipo day tu maji yatayumba,sasa maji yakiyumba wewe hiyo ndo siku unapiga bingo muraaa

yani uza ndooo zako pipa likiisha mfukoni unamkwanja mzuriiiii
HII LABDA KWA VYUO VYA HUKO KANTALAMBA,
SIO KWA DAR ES SALAAM.

HATA HIVYO MWANACHUO UJAZE PIPA LA MAJI UKAE NALO HOSTELI ETI USUBIRIE SIKU YAKATIKE ND'O UWAUZIE WENZIO NI IDEA YA KINDEZI!!!
 
Nunua vocha za kukwangua za uwezo wako

then jitangaze kuwa unauza vocha at any time mzeee Utanikumbuka

Laini yako hiyo unayoitumia yaweza kua unatumia tigo,voda,eatel

nenda tigo shop au eatel shop depend na mtandao wa simu unaotumia

Wambie wewe ni mfanya biashara unataka laini yako iunganishwe na huduma ya VOCHA ZA KURUSHA + vifurushi

hiyo huduma ni bure kabisa watakuunganisha laini yako itakua na uwezo wa kuuza vifurushi + rusha vocha

utakua ukifanya hiyo biashara Chuo aseee mkuuuu Vifurushi vina hela sikia tu kwa jirani nakwambia
HII ATAUZA SANA,
ILA FAIDA YAKE SIO YA KUITEGEMEA KUENDESHEA MAISHA.

VOCHA ZA KURUSHA FAIDA NI SH. 15/= HADI 30/= KWA KILA 500/=.
 
Nunua photocopy machine ndogo kaa nayo room kwako

Pigisha watu copy kla atae hitaji huduma,

baba la baba utakua na shida zoteeeee ila sio shda ya pesa ndogo ndogo.
HAPA ND'O UMEKUJA KUMPA MWONGOZO SASA.

HII ND'O IDEA TIMAMU KATIKA ZOTE ULIZOZITOA HAPA.

MSISITIZO:
ANUNUE PRINTER YA EPSON L382 TU,
NA PC YAKE KWA AJILI YA PRINTING,
AKIPATA NA KAMERA NZURI ANAPIGA NA PICHA ZA AINA ZOTE-
MWENYEWE ATAFURAHI.

ANGALIZO:
USALAMA WA VIFAA VYAKE PINDI AWAPO NJE YA HOSTEL NI CHANGAMOTO,
COZ HOSTEL KUNA WIZI SANA.
 
kINGINE Mzeee baba Geuka DOBI

chuo mijitu mivivu sana sana ,wewe ondoa usharobaro nunua mabeseni,nunua ndooo

vifaaa jikoki then ROOM yako andika pale Juuu DOBI yupo hapa,weka namba zako za simu

Baba unapokea nguo,unazifua usiku kama mchana huna kipindi lala pumzika,Usiku watu waliofua mchana

wameanua nguo woteeee wewe ndio muda unafua unajaza mikamba,BABA lakeeeee Utanikumbuka nakwambia.
Zikiibiwa jee?[emoji2]

By pessimist [emoji28]
 
HII ATAUZA SANA,
ILA FAIDA YAKE SIO YA KUITEGEMEA KUENDESHEA MAISHA.

VOCHA ZA KURUSHA FAIDA NI SH. 15/= HADI 30/= KWA KILA 500/=.
sh 15 hadi sh 30 ni kwa vifurushi vya dakika kama extreme na Mini Kabang

ila kwa vifurushi vyote vya internet (MB) sh 500 atapata faida ya sh 50

hujajumlisha ile faida atayoipata kwa kununua salio kwa EPIN.

per day hawezi kosa 5000 huko chuo
 
HII LABDA KWA VYUO VYA HUKO KANTALAMBA,
SIO KWA DAR ES SALAAM.

HATA HIVYO MWANACHUO UJAZE PIPA LA MAJI UKAE NALO HOSTELI ETI USUBIRIE SIKU YAKATIKE ND'O UWAUZIE WENZIO NI IDEA YA KINDEZI!!!
kwako ni ya kindezi
 
HII ATAUZA SANA,
ILA FAIDA YAKE SIO YA KUITEGEMEA KUENDESHEA MAISHA.

VOCHA ZA KURUSHA FAIDA NI SH. 15/= HADI 30/= KWA KILA 500/=.
umeambiwa anaendesha maisha huko chuo?

ameenda chuo kusoma na hajaenda kutafuta maisha

anachotafuta ni kuepuka kusumbua wazazi na kujikimu vitatizo vidogo

Muda wa kuendesha maisha akimaliza chuo ataupata wa kutosha.
 
Kama upo TIA karibu mbagala hapa tupeane mawazo, tatizo la biashara nyingi wanazofanyaa wanachuo huko chuoni hazina future unakuta boom likikata nayo imekata akienda likizo imekufa alimaliza chuo ndio zinakufa kabisa inakuwa Kazi bule...nashauri fanya biaashara yenye ofisi mfano uwakala hapo naeneo yanje ya chuo unaweka kibanda nk ukicheza kamari vizuri utakuta unamaliza una vibanda vitatu.
That good broo ivi tigopesa unaweza fungua kwa bei gan?
 
Back
Top Bottom