Biashara baina ya mataifa ya EAC, Kenya imefanya zaidi ya mara mbili ya Tanzania

Mkikuyu- Akili timamu nisaidie hapo kwenye point yangu kuijazia nyama kiuchumi zaidi, comparisons ya export na import kati ya Tanzania na Kenya πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Huyo sioni akirudi tena
 
Mimi nimekwama hapo kwa monkeys 🐡🐡. Eti gold would still be exported even if the whole of Tanzania was 99% made up of monkeys! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hii ni kali. JF sihami anytime soon
 
Tanzania ina trade deficit ya $3B

Kenya ina trade deficit ya $11B

Yupi yupo vizuri kwenye biashara hapa?

Mkikuyu- Akili timamu
Hurray I have learned something

Train yetu ya umeme na Nyerere Dam ikikamilika, trade deficit yetu itakua even more narrowed sababu hatutaagiza mafuta kwa wingi nje, since oil is the most imported commodity

Electrified SGR itasafirisha mizigo na abiria wengi ambao wangepaswa kusafirishwa na malori na mabasi ambayo yangehitaji petrol nyingi

Nyerere Dam itaondoa kabisa umeme ambao ungezalishwa na mafuta mazito japo hata sasa umeme wa mafuta umepungua sana sababu ya matumizi ya natural gas, umeme wa Nyerere Dam utatusaidia kupata forex income zaidi sababu tutauza nje

Doooooh! Magu akili kubwa kweli

Mkikuyu- Akili timamu
 
Holy mother of f.uck!!!!

This "discussion" is over!!!
 
The way you reason!!!! πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ€”πŸ€”
So SGR itakuwa inabeba watu from all corners of Tanzania?? What a stupid argument!
 
The way you reason!!!! πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ€”πŸ€”
So SGR itakuwa inabeba watu from all corners of Tanzania?? What a stupid argument!
Nimesema itapungua since population kubwa ya Watanzania wapo lake zone
 
Tanzania's population is evenly distributed
unapata tabu unaposikia 'lake zone' sababu hata hujui maana yake

The Lake Zone in Tanzania is made up of Regions surrounding Lake Victoria; these are Geita, Simiyu, Shinyanga, Kagera, Mara and Mwanza.
 
unapata tabu unaposikia 'lake zone' sababu hata hujui maana yake

The Lake Zone in Tanzania is made up of Regions surrounding Lake Victoria; these are Geita, Simiyu, Shinyanga, Kagera, Mara and Mwanza.
So "lake zone" imekuwa Greek ambayo ni vigumu kuelewa maana yake? In Kenya we have what we call the lake region
 
So "lake zone" imekuwa Greek ambayo ni vigumu kuelewa maana yake? In Kenya we have what we call the lake region
Kwani kuna asiejua maana ya maneno 'lake' na 'zone'? Concept yake ndio ulikua hujui

SGR yetu inapita kwenye maeneo yenye population kubwa Tanzania kuliko maeneo mengine so itahudumia millions of people sababu ina cut across populated regions hivyo lazima wasafiri wa maeneo hayo waopt kutumia SGR badala ya mabasi kulink capital Dodoma na hub Dar kuelekea northern Tanzania au Southern Highlands
 
Unapoteza muda kumuelekeza huyu mbu mbu mbu ambaye anasumbuliwa na inferiority complex, always kwa denial, brainwashed, chuki na wivu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapoteza muda tu.
 
Unapoteza muda kumuelekeza huyu mbu mbu mbu ambaye anasumbuliwa na inferiority complex, always kwa denial, brainwashed, chuki na wivu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapoteza muda tu.
Ndio tatizo lao, huwa wapo kushindana badala ya kujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…