babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Hapa niko naangalia sign za inferiority complex naona zote wakenya wanazo.Ndio tatizo lao, huwa wapo kushindana badala ya kujadili
Hahah wapo inferior sana, halafu kama walikua wanaichukulia Tanzania poa kiaina hivi, ndio maana wagumu kukubaliana na realityHapa niko naangalia sign za inferiority complex naona zote wakenya wanazo.
Inferiority complex na kuwa brainwashed ni tatizo kubwa sana kwao, na kujiona wao ndio wao πππ kumbe meza ilishapinduka kitambo.Hahah wapo inferior sana, halafu kama walikua wanaichukulia Tanzania poa kiaina hivi, ndio maana wagumu kukubaliana na reality
Hapo juu nimewaonesha namna walivyo na trade deficit kubwa robo ya GDP yao lakini ni kama hawaoni kama hilo ni Tatizo kubwa Sana na hutokea kwenye failed economy
GDP ya Kenya ni fake na imepikwa mno
Inferiority complex na kuwa brainwashed ni tatizo kubwa sana kwao,
Na kujiona wao ndio wao πππ kumbe meza ilishapinduka kitambo,
Alafu siku hizi siwaoni wakiongelea mambo ya GDP kubwa πππ
Zero kama hizo zero kwa jina lako,Elimu ya Tanzania matope tu.
Tangu lini Middle income akawa na inferiority complex kwa LDC? π π π
Stop using English phrases you don't understand.
The meaning of that phrase is the opposite of how you use it.
Zero kama hizo zero kwa jina lako,
Nyie wenye elimu nzuri mna kipi cha maana,
Hivi na nyie wakiitwa wenye elimu nzuri mtatoka πππ
Mido inikamu ya kwenye makaratasi,
Tanzania inawapa sleepless Sana πππ
Ona unavyoabudu kingereza,
Pitia hapa angalau mjitibu na hilo tatizo 5 Tips for Treating Inferiority Complex
Kenya economy inamililikiwa na wachache wakiwemo wazungu huku wavivu kama wewe mkibaki kusifia sifia ujingaπππTanzania - LDC
Rwanda - LDC
Burundi - LDC
.
.
.
South Africa - Middle income
Kenya - Middle income
Utalala vizuri ukijua mnaoshindana nao
Stick to your lane.
Kenya economy inamililikiwa na wachache wakiwemo wazungu huku wavivu kama wewe mkibaki kusifia sifia ujingaπππ
Tanzania ni ldc lakini cha ajabu huduma bora za afya kuliko kenya,
Huduma bora za kijamii kuliko mido inikamu kantrii kunyaland πππ
Mido inikamu kantrii kunyaland failed state inategemea misaada ya chakula karne hii,
Mido inikamu kantrii kunyaland ina madeni kila kona.
Wewe na huyo Burundi mlichotofautiana tu ni lugha za mazungumzo πππEnda ukaambie Burundi hayo. Huyo ndiye mnashindana naye.
LDC.
Mmebebewa mpaka akili. Tembea dunia ufunguke.
Wewe na huyo Burundi mlichotofautiana tu ni lugha za mazungumzo πππ
Ldc but hatupewi misaada ya chakula karne hii kama failed state kenya.
Nikuulize wewe unayefafamu hizo sherehe.Sherehe za flyover ya kwanza Tanzania zimeisha?
Elimu ya Tanzania matope tu.
Tangu lini Middle income akawa na inferiority complex kwa LDC? π π π
Stop using English phrases you don't understand.
The meaning of that phrase is the opposite of how you use it.
Deficit ni dalili ya kapuku anaye tamani kuishi kama tajiriTanzania ina trade deficit ya $3B
Kenya ina trade deficit ya $11B
Yupi yupo vizuri kwenye biashara hapa?
Mkikuyu- Akili timamu
2019 mnaitana mikutano ya kufunzana kutengeneza sabuni? Kenya watu wanajitengenezea sabuni majumbani kwa kutumia maarifa ya masomo Yao ya sekondari. Nyinyi mnaambiwa Mara nyingi mpo nyuma ya Kenya zaidi ya 2 decades au miaka ishirini na bado mnabisha.Huo ni mfano tu kwani nimesema sabuni zimeanza kuzalishwa juzi?
hata huku ni mambo ya muda mrefu lakini yapo effective to date.
https://www.facebook.com/
Jiwe na mapambio teamWaΓ aaah 2014 Tanzania walikuwa sawa aje aiiii,,,what happened hadi wakashuka ivo?
Bro counter facts with fact ie data vs data usikasirike alafu uanze matusi. Usiwe Kama kina joto la jiwe na babayao ama CCM sycophants.That Big GDP does not help kenya export more goods neither does it help kenya import less.
The only thing it fueling the GDP is $60B loans( 4 times more than Tz).
That is why kenya GDP is HotAir, useless statistic. Mambo kwa ground ni different
Kama Korosho Ila hela haziwafikii wakulima.Kitu kinachoongoza kuuzwa nje chenye percentage kubwa kwa umoja wake ni gold ndio
Lakini vitu vingi vinavyoongoza kuuzwa nje na kwa umoja wao ni percentage kubwa kuliko gold ni mazao angalia kuna aina nyingi ya mazao ambao yanalimwa na wananchi wa kawaida kwa wingi ndio yanaongozwa kuuzwa nje thus inclusive economy
Ninyi mazao yenu yanayoongoza kuuzwa nje ni chai na maua na kahawa ambavyo vyote hivyo ni monopolised business and most whites
LOL mido inkamu kantre ππππππWewe na huyo Burundi mlichotofautiana tu ni lugha za mazungumzo πππ
Ldc but hatupewi misaada ya chakula karne hii kama failed state kenya.
LOL fungeni na Universities, colleges, schools zote pia2019 mnaitana mikutano ya kufunzana kutengeneza sabuni? Kenya watu wanajitengenezea sabuni majumbani kwa kutumia maarifa ya masomo Yao ya sekondari. Nyinyi mnaambiwa Mara nyingi mpo nyuma ya Kenya zaidi ya 2 decades au miaka ishirini na bado mnabisha.
Mazao yote yanayozalishwa Tanzania yanamilikiwa na watanzania 100% sio ninyi mzungu katoka ulaya homeless and landless anakuja Kenya kuwafurusha wenyeji jangwani na kumiliki utajiri wote huku wenyeji wakifa njaaKama Korosho Ila hela haziwafikii wakulima.