Biashara baina ya mataifa ya EAC, Kenya imefanya zaidi ya mara mbili ya Tanzania

Biashara baina ya mataifa ya EAC, Kenya imefanya zaidi ya mara mbili ya Tanzania

Hapa niko naangalia sign za inferiority complex naona zote wakenya wanazo.
Hahah wapo inferior sana, halafu kama walikua wanaichukulia Tanzania poa kiaina hivi, ndio maana wagumu kukubaliana na reality

Hapo juu nimewaonesha namna walivyo na trade deficit kubwa robo ya GDP yao lakini ni kama hawaoni kama hilo ni Tatizo kubwa Sana na hutokea kwenye failed economy

GDP ya Kenya ni fake na imepikwa mno
 
Inferiority complex na kuwa brainwashed ni tatizo kubwa sana kwao, na kujiona wao ndio wao 😂😂😂 kumbe meza ilishapinduka kitambo.

Alafu siku hizi siwaoni wakiongelea mambo ya GDP kubwa 😂😂😂
 
Inferiority complex na kuwa brainwashed ni tatizo kubwa sana kwao,
Na kujiona wao ndio wao 😂😂😂 kumbe meza ilishapinduka kitambo,
Alafu siku hizi siwaoni wakiongelea mambo ya GDP kubwa 😂😂😂

Elimu ya Tanzania matope tu.

Tangu lini Middle income akawa na inferiority complex kwa LDC? 😂 😂 😂

Stop using English phrases you don't understand.
The meaning of that phrase is the opposite of how you use it.
 
Zero kama hizo zero kwa jina lako,
Nyie wenye elimu nzuri mna kipi cha maana,
Hivi na nyie wakiitwa wenye elimu nzuri mtatoka 😂😂😂
Mido inikamu ya kwenye makaratasi,
Tanzania inawapa sleepless Sana 😂😂😂
Ona unavyoabudu kingereza,
Pitia hapa angalau mjitibu na hilo tatizo 5 Tips for Treating Inferiority Complex
 
Tanzania - LDC
Rwanda - LDC
Burundi - LDC
.
.
.
South Africa - Middle income
Kenya - Middle income

Utalala vizuri ukijua mnaoshindana nao
Stick to your lane.
 
Tanzania - LDC
Rwanda - LDC
Burundi - LDC
.
.
.
South Africa - Middle income
Kenya - Middle income

Utalala vizuri ukijua mnaoshindana nao
Stick to your lane.
Kenya economy inamililikiwa na wachache wakiwemo wazungu huku wavivu kama wewe mkibaki kusifia sifia ujinga😂😂😂

Tanzania ni ldc lakini cha ajabu huduma bora za afya kuliko kenya,
Huduma bora za kijamii kuliko mido inikamu kantrii kunyaland 😂😂😂
Mido inikamu kantrii kunyaland failed state inategemea misaada ya chakula karne hii.

Mido inikamu kantrii kunyaland ina madeni kila kona.
 
Kenya economy inamililikiwa na wachache wakiwemo wazungu huku wavivu kama wewe mkibaki kusifia sifia ujinga😂😂😂
Tanzania ni ldc lakini cha ajabu huduma bora za afya kuliko kenya,
Huduma bora za kijamii kuliko mido inikamu kantrii kunyaland 😂😂😂
Mido inikamu kantrii kunyaland failed state inategemea misaada ya chakula karne hii,
Mido inikamu kantrii kunyaland ina madeni kila kona.

Enda ukaambie Burundi hayo. Huyo ndiye mnashindana naye.
LDC.
Mmebebewa mpaka akili. Tembea dunia ufunguke.
 
Elimu ya Tanzania matope tu.

Tangu lini Middle income akawa na inferiority complex kwa LDC? 😂 😂 😂

Stop using English phrases you don't understand.
The meaning of that phrase is the opposite of how you use it.

Hehehe yaani inferiority complex imepata tafsiri mpya.
 
Huo ni mfano tu kwani nimesema sabuni zimeanza kuzalishwa juzi?
hata huku ni mambo ya muda mrefu lakini yapo effective to date.

2019 mnaitana mikutano ya kufunzana kutengeneza sabuni? Kenya watu wanajitengenezea sabuni majumbani kwa kutumia maarifa ya masomo Yao ya sekondari. Nyinyi mnaambiwa Mara nyingi mpo nyuma ya Kenya zaidi ya 2 decades au miaka ishirini na bado mnabisha.
 
That Big GDP does not help kenya export more goods neither does it help kenya import less.
The only thing it fueling the GDP is $60B loans( 4 times more than Tz).
That is why kenya GDP is HotAir, useless statistic. Mambo kwa ground ni different
Bro counter facts with fact ie data vs data usikasirike alafu uanze matusi. Usiwe Kama kina joto la jiwe na babayao ama CCM sycophants.
 
Kitu kinachoongoza kuuzwa nje chenye percentage kubwa kwa umoja wake ni gold ndio

Lakini vitu vingi vinavyoongoza kuuzwa nje na kwa umoja wao ni percentage kubwa kuliko gold ni mazao angalia kuna aina nyingi ya mazao ambao yanalimwa na wananchi wa kawaida kwa wingi ndio yanaongozwa kuuzwa nje thus inclusive economy

Ninyi mazao yenu yanayoongoza kuuzwa nje ni chai na maua na kahawa ambavyo vyote hivyo ni monopolised business and most whites
Kama Korosho Ila hela haziwafikii wakulima.
 
Wewe na huyo Burundi mlichotofautiana tu ni lugha za mazungumzo 😂😂😂
Ldc but hatupewi misaada ya chakula karne hii kama failed state kenya.

LOL mido inkamu kantre 😂😂😂😂😂😂
20191114_122517png.png
 
2019 mnaitana mikutano ya kufunzana kutengeneza sabuni? Kenya watu wanajitengenezea sabuni majumbani kwa kutumia maarifa ya masomo Yao ya sekondari. Nyinyi mnaambiwa Mara nyingi mpo nyuma ya Kenya zaidi ya 2 decades au miaka ishirini na bado mnabisha.
LOL fungeni na Universities, colleges, schools zote pia
 
Kama Korosho Ila hela haziwafikii wakulima.
Mazao yote yanayozalishwa Tanzania yanamilikiwa na watanzania 100% sio ninyi mzungu katoka ulaya homeless and landless anakuja Kenya kuwafurusha wenyeji jangwani na kumiliki utajiri wote huku wenyeji wakifa njaa
 
Back
Top Bottom