akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 526
Kwa yeyote ambae ndo kapata mafao yake na umri ndo uko finaly basi namshauri aanzishe biashara itakayo endana na maswala ya chakula. Maana mwisho wa siku huwezi kukosa mboga wala unga.
Ukiweka genge la mboga mboga na zaidi ukawa unatoa bustanin kwako basi hapo vegs sio tatizo na hapo hapo umauza na bidhaa zote za mahitaji ya nyumbani (hapa namaanisha duka la rejareja) mafuta, sukari, chumvi, sabuni etc
Butcher ya kuuza aina zote za nyama, hii itasaidia swala zima la either white au red meat.
Machine ya kusaga na kukoboa, hapa hutakosa unga na pia kama unamifugo utapata pumba na mabaki ya unga.
Ongezeeni na ninyi....