Biashara bora na nzuri kwa wastaafu

Biashara bora na nzuri kwa wastaafu

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
526
Kwa yeyote ambae ndo kapata mafao yake na umri ndo uko finaly basi namshauri aanzishe biashara itakayo endana na maswala ya chakula. Maana mwisho wa siku huwezi kukosa mboga wala unga.

Ukiweka genge la mboga mboga na zaidi ukawa unatoa bustanin kwako basi hapo vegs sio tatizo na hapo hapo umauza na bidhaa zote za mahitaji ya nyumbani (hapa namaanisha duka la rejareja) mafuta, sukari, chumvi, sabuni etc

Butcher ya kuuza aina zote za nyama, hii itasaidia swala zima la either white au red meat.

Machine ya kusaga na kukoboa, hapa hutakosa unga na pia kama unamifugo utapata pumba na mabaki ya unga.

Ongezeeni na ninyi....
 
Mkuu kazi ya mafao si kuanzishia biashara hapo ndo huwa tunakosea kabisa, Mafao ni ya kukusaidia wakati nguvu zikiwa zimeisha na si vinginevyo,

Na unatakiwa kuingia kwenye ulimwengu wa ujasirimali ukiwa na nguvu zote na si usubiri ustafu ndo ingie,usisubili mpaka mambo yawe magumu ndo ukumbuke kumbe kuna biashara,
 
Kwa yeyote ambae ndo kapata mafao yake na umri ndo uko finaly basi namshauri aanzishe biashara itakayo endana na maswala ya chakula. Maana mwisho wa siku huwezi kukosa mboga wala unga.

Ukiweka genge la mboga mboga na zaidi ukawa unatoa bustanin kwako basi hapo vegs sio tatizo na hapo hapo umauza na bidhaa zote za mahitaji ya nyumbani (hapa namaanisha duka la rejareja) mafuta, sukari, chumvi, sabuni etc

Butcher ya kuuza aina zote za nyama, hii itasaidia swala zima la either white au red meat.

Machine ya kusaga na kukoboa, hapa hutakosa unga na pia kama unamifugo utapata pumba na mabaki ya unga.

Ongezeeni na ninyi....

Kama uliishi maisha ya kuajiriwa miaka yote mpaka unastaafu hujawahi Fanya biashara yoyote sikushauri uanze sasa utakufa kwa pressure
 
Hahaha asanteni nyote wakuu ila nilimaanisha kwa wale ambao maisha yao yote hawajawahi kufanya chochote tofauti na ajira sasa inafikia kikomo hajui aanzie wapi mwisho wa siku wengi wao wanaishia kununua magari ya biashara ambayo pia kwa sababu kesha zeeka hana hata uwezo wa kufuatiria.
 
Mi nitamshauri arudi kijijini atleast apate mji unaochipukia kuchangamka, ajenge atleast fremu kumi na nyumba ya kupangisha. Kama kijipesa kitabaki anunue kijisuzuki carry kwajl ya kubebea pumba na kukatia nyasi.
Katika fremu hizo moja afungue mashine ya kusaga na kukoboa kisha afuge ng'ombe wa maziwa na kuku.
Kisha ajikabidhi kwa Mungu kuandaa maisha ya peponi.
 
Mawazo yote mazuri, wastaafu wengi umri umeenda, home based business ni nzuri kwani haitaji kwenda mbali na mikikimikiki ya traffic, foleni kutoka alfajiri kurudi usiku nk. Pia ufugaji au mashine inampa uhakika chakula na mishahara ya wasaidizi, fremu au nyumba za kupangisha ni security tosha kwa matumizi ya emergency kama misiba, magonjwa maybe fees ya wajukuu au watoto nk. Ukistaafu hivi unakuwa sio mzigo na wala huna pressure na maisha.
Mi nitamshauri arudi kijijini atleast apate mji unaochipukia kuchangamka, ajenge atleast fremu kumi na nyumba ya kupangisha. Kama kijipesa kitabaki anunue kijisuzuki carry kwajl ya kubebea pumba na kukatia nyasi.
Katika fremu hizo moja afungue mashine ya kusaga na kukoboa kisha afuge ng'ombe wa maziwa na kuku.
Kisha ajikabidhi kwa Mungu kuandaa maisha ya peponi.
 
Well said Mama Joe wastaafu wengi wanapotoshwa na watoto wao kwa kuwahadaa kununua magari hasa canter au wale wa vijijini hukimbilia kununua tractor, mara nyingi miladi kama hii huisha pabaya na haiwalipi maana management huwa very poor. Watoto huscrumble kugawana kila kipato kinachopatikana kutokana na miladi hiyo au kumharasi driver aliyekabidhiwa chombo na hatimaye kukitelekeza. Haiishii hapo tu, watoto watauza hadi matairi.
Hakuna mladi mwingine kwa mstaafu utakaodumu zaidi ya kujenga nyumba za kupangisha au any other home based venture.
 
Last edited by a moderator:
Kustaafu ni changamoto na ndo maana wastaafu wengi hufa haraka kwa kushindwa au kukosa shuguri au mradi wa kumuingizia kipato na kumu keep busy.

Naamin hiki kizaz chetu uelewa umekuwa mkubwa sana kiasi ambacho vijana wetu ndo wanaomiliki uchumi na wengi wana focus nzuri za uhangaikaji japo changamoto ni nyingi.
 
Asante Kisima na Akohi, issue sio kustaafu na mali au capital au biashara. Bali ni aina gani inafaa kwa mstaafu, kama alivyosema Kisima hata kwa uzoefu wangu walioingia au kuendelea biashara za magari sijui tractor kama watoto hawajui hiyo biashara wamekufa masikini kwa pressure huwezi amini. Biashara za retail pia umrithishe mtoto na aelekee kweli mtaishia ugomvi. Hisa kwa Tanzania hazitabiriki, nyingine hazihuziki full majanga. Kilimo kama miti iliyokwisha wekezwa ni kuvuna tu hiyo poa sio ukalime mahindi, maharage kila msimu we kukimbizana na vibarua, wateja ushuru mbona utaugua.
Wazee ninawajua walikaa kwa amani wakimiliki real estates, mifugo hapo ikitokea issue akiuza ngombe au nyumba anatatua tatizo lake kwa amani anarudi kujipanga upya. Wengine muweke mawazo mazuri hapa tujifunze
 
Back
Top Bottom