asante ndg huyo mwanadamu alie nipa hizo habari anasema sanasana ni nguo za wamama km hz za kariakoo pamoja na BAG
alinitumia hadi sample anasema km mtu unakuwa na mzigo mkubwa unapewa pesa nusu baada ya muda mtakaokubaliana wanakumalizia sasa ndio maana nimekuja humu nikiamini kuna watu wanajua wengi ili nijue ukweli wa mambo ukichukulia mtu alienambia hiyo biashara tumekutana kwenye mitandao so nataka kupata uelewa zaidi karibu sana ndg kwa mchango wako wa mawazo