Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Biashara ya dhahabu siyo kihivyo kama unavyoambiwa nenda kote wanakonunu bei haitofautiani sana na ya duniani, anayekwambia kuna faida kubwa labda uwe ubachimba na kuuza mwenyewe au unanunua kwa watu unaowachimbisha wewe huko porini vinginevyo acheni kudanganya watuUmeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Sipend pesa ya ndugu yangu huyo ipotee,ndomana kwa msisitizo narudia,akitaka fanya hii biashara atafte mentor kwanza halaf aanze na mtaj wa lak5 tuu,..asiweke hyo mil12,itakwenda na majNimependa huu mjadala but nashauri mtu anapotoa wazo usiliponge kwa kejeli but jenga hoja ni vipi hiyo idea aijengi ili kumwezesha aliyetoa hoja zaidi kufunguka na mwisho wa siku ipatikane solution
Aanze na mtaj mdogo sana hata wa lak5,na sio aanze na mil12 ambayo ndo hela yake ya ngama na pekeee,mtampoteza mwenzenu kwa kumpa shaur ambazo watoaj wa shaur hzi hata hii biashara hawaijui,wanaskia tu makinikia ,mara madini yana pesa,stor za vijiwen,ingia field au nenda vijiwe vya watu wa madin halaf wakuskie et unataka weka mil12,watakuchapa kijanaHatapataje experience kama ajaingia filed kupractice?
Unafanya biashara gani inayokuungizia hiyo hela?Wakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.
Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.
Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .
Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).
Karibuni kwa mawazo.
Kuna chuo cha kujifunzia expirience?Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
Ilikuwaje mkuu?Dhahabu utapeli,Mimi Nina kama mwezi hiv nimetapeliwa kwenye hizo dhahabu,cyo deal
Kwa mtaji alioutaja itakula kwake hata pata hiyo 300,000 anayoitakaNunua mahindi, sagisha halafu Uza unga kwa jumla na rejareja.
Wewe ndio hujui kitu kabisa, bora uwe unasoma tu comments za watu.Sisi tunazungumzia dhahabu mbichi,unaleta habari ya soko la dunia,dah kazi sanaBiashara ya dhahabu siyo kihivyo kama unavyoambiwa nenda kote wanakonunu bei haitofautiani sana na ya duniani, anayekwambia kuna faida kubwa labda uwe ubachimba na kuuza mwenyewe au unanunua kwa watu unaowachimbisha wewe huko porini vinginevyo acheni kudanganya watu
Biashara ya dhahabu siyo kihivyo kama unavyoambiwa nenda kote wanakonunu bei haitofautiani sana na ya duniani, anayekwambia kuna faida kubwa labda uwe ubachimba na kuuza mwenyewe au unanunua kwa watu unaowachimbisha wewe huko porini vinginevyo acheni kudanganya watu
Nipo Chunya we uko wapi! Unakowadanya wenzio kuwa ni biashara ya faida kubwa? Usijifanye mjuaji kijana kwa vitu vya kufikirika kodi katika gross value ni 12% na bei haitofautiani sana naya DunianiWewe ndio hujui kitu kabisa, bora uwe unasoma tu comments za watu.Sisi tunazungumzia dhahabu mbichi,unaleta habari ya soko la dunia,dah kazi sana
Hiyo dhahabu mbichi huwezi kuipata kijingajinga tz hii kwa miaka hii kila wanapochimba kuna wanunuzi ambao ndio wafadhili wao we kama hufadhili uchimbaji dhahabu labda upate ya wiziWewe ndio hujui kitu kabisa, bora uwe unasoma tu comments za watu.Sisi tunazungumzia dhahabu mbichi,unaleta habari ya soko la dunia,dah kazi sana
Nipo Chunya we uko wapi! Unakowadanya wenzio kuwa ni biashara ya faida kubwa? Usijifanye mjuaji kijana kwa vitu vya kufikirika kodi katika gross value ni 12% na bei haitofautiani sana naya Duniani
Upo chunya ipi, makongolosi, matundasi, saza, mbangala, au wapi. Acha ujuaji. Hiyo 12% ni kwa wenye leseni, hapa tunazungumzia anayenunua kwa wachimbaji wadogo na kumuuzia mwenye leseni anayesafirisha nje. Huko chunya dhahabu zipo bila hata kudhamini shimo. Acha siasaNipo Chunya we uko wapi! Unakowadanya wenzio kuwa ni biashara ya faida kubwa? Usijifanye mjuaji kijana kwa vitu vya kufikirika kodi katika gross value ni 12% na bei haitofautiani sana naya Duniani
Hata wewe kwasasa utakapoenda kuuza dhahabu lazima ulipe kama hulipishwi inamaana hata huyo anayenunua dhahabu yako anakwepa kodi kuna siku utaumbukaUpo chunya ipi, makongolosi, matundasi, saza, mbangala, au wapi. Acha ujuaji. Hiyo 12% ni kwa wenye leseni, hapa tunazungumzia anayenunua kwa wachimbaji wadogo na kumuuzia mwenye leseni anayesafirisha nje. Huko chunya dhahabu zipo bila hata kudhamini shimo. Acha siasa
Biasha ya hii ni nzuri ila inachangamoto nying sana kumpata mtu mwaminifu ni kazi sana nadhani ile kushika hela nyingi wanajikuta wanainhia tamaaVibanda kadhaa vya M-Pesa, tigopesa, airtel money n.k. utafute na site nzuri kama karibu na vyuo au eneo lenye watu wengi wanaofanya transactions hizo zinalipa Mkuu,
Ushauri mwingine unaopewa humu no mzuri ila nawe uupime kutikana na uelewa wako pamoja na kushauriana moja kwa moja na wataalamu.
Hapa tunsdiscuss mbangaizaji wa dhahabu,siomwenye mtaji mkubwa ndio tofauti ya mjadalaBiasha ya hii ni nzuri ila inachangamoto nying sana kumpata mtu mwaminifu ni kazi sana nadhani ile kushika hela nyingi wanajikuta wanainhia tamaa
Pili utapeli na viini macho mimi nilidhapoteza hela mingi sana.
Wezi na ujambazi inabidi uajiri mlinzi tena wakampuni kwani vizi ukitokea kampuni inakuwa responsible.
Kasome kifungu kifungu cha VI cha hiyo sheria 1-4 wameandika na adhabu zake kwanza huruhusiwi kujishughulisha na shughuli za madini kama huna leseni ukikamatwa madini yanachukuliwa na unashtakiwa we jipe moyo na ujuha wako huoWewe hujui sheria ya madini. Hairuhusiwi kumtoza mtu mrabaha,wala kodi yeyote,isipokuwa mwenye leseni inayostahili. Nenda kasome MINING ACT 2010
Basi kama hivyo wachimbaji wadogo wote wakamatwe wapewe adhabuKasome kifungu kifungu cha VI cha hiyo sheria 1-4 wameandika na adhabu zake kwanza huruhusiwi kujishughulisha na shughuli za madini kama huna leseni ukikamatwa madini yanachukuliwa na unashtakiwa we jipe moyo na ujuha wako huo