Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Biashara ya dhahabu siyo kihivyo kama unavyoambiwa nenda kote wanakonunu bei haitofautiani sana na ya duniani, anayekwambia kuna faida kubwa labda uwe ubachimba na kuuza mwenyewe au unanunua kwa watu unaowachimbisha wewe huko porini vinginevyo acheni kudanganya watuUmeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida