Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Hiyo dhahabu mbichi huwezi kuipata kijingajinga tz hii kwa miaka hii kila wanapochimba kuna wanunuzi ambao ndio wafadhili wao we kama hufadhili uchimbaji dhahabu labda upate ya wizi
unachosema ni kweli kabisa,mwaka juzi nilishawishika kuifanya hiyo biashara kwa kufuata maneno ya watu kama hivi,nikapata mtu mzoefu akanipeleka huko porini,kukusanya kiasi unachotaka sio kazi ya siku moja na sio kila mtu tu anauziwa,mazingira ya huko porini ni machafu na ikibidi ulale huko unalala chini kwenye mahema ya maturubai kuna tents kama zile za wakimbizi....mazingira ni mabaya mno ,nilikutana na michana ambaye ilikua anatembea na madigala ili wamkusanyie mzigo mapema ili asikae sana porini...na kuhusu bei ni kweli haina tofauti sana na bei ya dunia,na kuna siku anakuja mtu au watu wametumwa mzigo mkubwa na wahindi wanapandishA bei na kila mchimbaji anawauzia wao...profit margin inakua finyu mnoo kiasi kwamba anayenunua mzigo mkubwa ndo ataiona hiyo faida per gram....
 
Duh.. Sasa huyo binti anayejiachia kwa hao "madigala" ili aokoe muda wa kukaa huko porin si atavuna ngoma fasta?
 


Mkuu inaonekana wewe bado ni mchanga kwenye biashara ya dhahabu
 
Na saluni mbili za kiume,na kijiduka cha mtaani fedha nayopata nizaidi ya hiyo 30/40 sema nimeweka hiyo kama kiasi cha chini kabisa.

Naomba kufaham kwa undan biashara hii ya saloon, leo nmetoka kuobgea na jamaa zng wanasaloon, nkawauliza hiv mikifungua saloon ya kiume kisha nikamweka kijana nkiwa na maana ya kuibgia naye mkataba wa kila mwez anioe mzigo wng, kwa sik amaweza kunikusanyia bie gan? Wakanijib lbd elf 5 kwa sik! Nikashtuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…