Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Nikweli,..ndo umwambie huyu jamaa aelewe.dhahab si lelemama,na inapatkana porin,so ajiandae hyo m5 akiipata mwnye uzoef itampa faida,ila akiipata mtu ambae ndo anaanza hana hili wala lile,itakula kwake
Nimekusoma kiongozi.
 
Mkuu shukrani.
 
Chimbo la wapi hili nikacheki fursa na huko
 
Wewe unafanya au umefanya mkuu?
 
Kujua ubora kuna vipimo vyake pia au scale iyo iyo ya kupima uzito na inatumika kupima ubora pia?
 
Kwaiyo mkuu una miliki mgodi na gharama za kumiliki roughly itakuwa tshs ngapi?
 
Mm nitakutafuta asee tupige kazi ila mm sielew chochote but huwa nataman kuifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…