mkuu mnunuaji mdogo wa dhahabu hangojei dhahabu mjini,
anakwenda machimboni,huko ndo ataipata dhahabu maana inachimbwa,kuibuliwa na kusafishwa akiwa ama anashuhudia ama yuko arround,
machimboni ukiuza dhahabu fake watakuua tu,
watu wanaishi kwenye vijumba vya mifuko ya sulphate,
huku hadi kuna gest za magunia,chezea ,
mvua inanyesha utadhani watu watatoka,lakini ndo wamekomaa tu,
mimi sio mfanyabiashara wa madini lakini kuna watu ,majirani wanafanya biashara hiyo,
juzi kuna dada poa mmoja alikuwa anaenda kuiuza naniliu huko,sasa ame upgrade kumuuliza anadai sasa ananunua dhahabu na kuuza,
ujue matajiri wakubwa ndo wananunua kwa hawa chinga wa dhahabu,hawa chinga wananunua direct toka kwa mchimbaji