golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Site machimboni, inategemea wewe unataka chimbo la wapi.OK unainulilia wapi hapa dar au mkoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Site machimboni, inategemea wewe unataka chimbo la wapi.OK unainulilia wapi hapa dar au mkoani
Kama dhahab unainunulia mjin na kirahis hivyo bas sawa..mi nmefanya sana hyo biashara,usimpotoshe mwenzio akat field hujaenda unaongea stor za mirad ya fb na insta au hapa jf..ingia field uitafte hyo dhahab ndo utajua dhahab si lelemama..Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Ujue kubishana kusiko na tija ni kumaliza calories, naongelea experience hapa sio theories sasa sijui unachobisha ni nini.Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross
Inategemea na machimbo uliyopitia, ninapodili mimi hakuna hayo mambo. Kufadhili duara hata mimi siwezi, maana unaweza ambulia patupu na hela kuisha. Nilipo mimi dhahabu ipo, sema ukitaka mzigo wa haraka ni kupandilia bei. Ila tunachojadili hapa ni kupata hiyo faida kwa sikuKama dhahab unainunulia mjin na kirahis hivyo bas sawa..mi nmefanya sana hyo biashara,usimpotoshe mwenzio akat field hujaenda unaongea stor za mirad ya fb na insta au hapa jf..ingia field uitafte hyo dhahab ndo utajua dhahab si lelemama..
1.utakutana na matapel kama ni mgen
2.watakulengesha et ukachimbe,hapo ndo utaingia chaka,
3.dhahab inapatkana porin so andaa budget ya huko
4.had uje ijua hii biashara na ukae sawa hyo mil5 ishaliwa na makandokando
Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanyeKweli kila mtu na uzoefu wake. Kwa uzoefu wangu huwezi kupigwa dhahabu feki, maana wewe unanunua dhahabu mbichi sio iliyoyeyushwa. Dhahabu mbichi ni vigumu kuuziwa feki, sema ubora ndio unatakiwa uujue, na ni rahisi kujua, hii ni bora zaidi kuliko nyingine. Ndani ya dakika unakuwa umeelwa tofauti na dhahabu iliyoyeyushwa
Ndio maana nikamwambia aje tufanye kazi, sio kumwambia aende akafanye mwenyewe, uwe unasoma vizuri nilichomwambiaUsimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
Sasa atapata experience bila kufanya? WaTz wengi tunakufa maskini kwa kuogopa kuthubutu... To never try is the ultimate fail.Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
Hukaweka loss weigh maana unanunua ikiwa haijayeyushwa ila ukiuza unayeyusha.Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Mi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayoInategemea na machimbo uliyopitia, ninapodili mimi hakuna hayo mambo. Kufadhili duara hata mimi siwezi, maana unaweza ambulia patupu na hela kuisha. Nilipo mimi dhahabu ipo, sema ukitaka mzigo wa haraka ni kupandilia bei. Ila tunachojadili hapa ni kupata hiyo faida kwa siku
Usijaribie mtaji wa ngama asee,..wew kama ni mfanya biashara mzoef utanielewa,ila kama ni mpiga debe tuu kwenye mitandao huwez elewa,..na inaelekea hujawai weka pesa kwenye chochote,...pesa si mchezo asee,achana na pesa za mboga,pesa ya kutafta mwenyew idundulize had ifike 15-20mil af ukajaribie kwenye mining,..mi nimefanya mining na ishanipa profit kubwa,ila,story yake ni ndef na simshaur mtu mwenye mtaj wa ngama afanyeSasa atapata experience bila kufanya? WaTz wengi tunakufa maskini kwa kuogopa kuthubutu... To never try is the ultimate fail.
Dhahabu feki ipo, ila siombichi ya mercury, nadhani hapa utanielewaMi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayo
Hiyo miaka minne ulisomea nini na mwaka gani na chuo ganiMi nmepita karib machimbo yote ujuayo wew,na nina bachelor ya hyo kitu nmesoma 4yrs,.na nmefanya hyo baishara naijua vilivyo,.tabia za migod na michezo yote znafanana,deposits hua tofaut ,ukibahatika ndo hvyo,na kwa hal ya sasa kila kona ya hii nchi ina wajanja,huez enda sehem ukakuta deposit inatoa vzur halaf uskute wajanja hapo,..mwisho wa siku watakulengesha utafte shimo,tena wala sio gharama kama watu wanavyosema,.ishi iko kwenye shughul yenyew,si kununua si kuchimba,inahtaj ukae u experienc hyo shugul kwa muda had uielewe,..unasema hakuna dhahab fake,..unaijua pyrite wew?kwa mtu asieijua atauziwa kama dhahab na ataondoka nayo
We Jamaa iko siku nitakutafuta, nakumbuka kuna sehemu ulinishauri ninunue yale madude ya kusaga mawe huko mgodi. Bado nakumbuka, mambo yakikaa sawa nitakuchek.Hukaweka loss weigh maana unanunua ikiwa haijayeyushwa ila ukiuza unayeyusha.
Upatikanaji wake upoje? Uko wapi
[emoji121]Ndio maana nikamwambia aje tufanye kazi, sio kumwambia aende akafanye mwenyewe, uwe unasoma vizuri nilichomwambia
Kupungua kwa uzito kupo ukiyeyusha, baadhi ya uchafu unatoka. Ndio maana asilimia inatumika kukokotoa. Haiwezi kuwa asilimia mia dhahabu.Hukaweka loss weigh maana unanunua ikiwa haijayeyushwa ila ukiuza unayeyusha.
Upatikanaji wake upoje? Uko wapi
HAAAAAAAAAAH, we jamaa bangi kweli. Sio kila mtu humu jf anafanana mawazo na wewe.[emoji121]
SASA HAPA ND'O ATAPODUFULIWA MTU HAPA!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Stak kukwambia kwasabab utanifaham,ila nkupe hint,nmesoma,CoNas,udsm,.Bsc in geology.Hiyo miaka minne ulisomea nini na mwaka gani na chuo gani
-Mineral processing eng
-Mining eng
-Mining geology
-Geology science
Hebu niambie, mimi nimesoma mojawapo ya kozi hizo. Sifanyi hii biashara kwa kubahatisha
Kama,ulisoma udsm nkikupa details utanifaham,na mi stak unifaham,maana hapa ni ID fake kwa kwenda mbeleHiyo miaka minne ulisomea nini na mwaka gani na chuo gani
-Mineral processing eng
-Mining eng
-Mining geology
-Geology science
Hebu niambie, mimi nimesoma mojawapo ya kozi hizo. Sifanyi hii biashara kwa kubahatisha