Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Usijifanye unajua wakati hujui 40yako ikifika utajuta kuifahamu serikaliBasi kama hivyo wachimbaji wadogo wote wakamatwe wapewe adhabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijifanye unajua wakati hujui 40yako ikifika utajuta kuifahamu serikaliBasi kama hivyo wachimbaji wadogo wote wakamatwe wapewe adhabu
Mkuu mimi kuhusu sheria hiyo nafahamu kidogo,ila kwa mantikihiyowachimbajiwadogo wote nchinzima wakamatwe wapewe adhabu, Naona itakuwa vizuri ili watu wote wawe na leseniUsijifanye unajua wakati hujui 40yako ikifika utajuta kuifahamu serikali
Usiwaige wachimbaji kwa wewe mnunuzi ukikamatwa huna cha kujitetea we zoea tu 40 yako yajaMkuu mimi kuhusu sheria hiyo nafahamu kidogo,ila kwa mantikihiyowachimbajiwadogo wote nchinzima wakamatwe wapewe adhabu, Naona itakuwa vizuri ili watu wote wawe na leseni
Nielekeze kwa kipindi hiki ninachofanya hii biashara wapi nikachukue leseni. Naitaka sana. Utakuwa umenielewa.Leseni ya broker ni Tsh 250000 tu unashindwa kukata hadi ukamatwe madini yachukuliwe na ufungwe au kupigwa faini ndo utatia akili
Hapa nakuelewa ila kwa yale ya mwanzo hapana. Nashukuru kwa ushauri wakoUsiwaige wachimbaji kwa wewe mnunuzi ukikamatwa huna cha kujitetea we zoea tu 40 yako yaja
Sure MkuuBiasha ya hii ni nzuri ila inachangamoto nying sana kumpata mtu mwaminifu ni kazi sana nadhani ile kushika hela nyingi wanajikuta wanainhia tamaa
Pili utapeli na viini macho mimi nilidhapoteza hela mingi sana.
Wezi na ujambazi inabidi uajiri mlinzi tena wakampuni kwani vizi ukitokea kampuni inakuwa responsible.
Sure MkuuBiasha ya hii ni nzuri ila inachangamoto nying sana kumpata mtu mwaminifu ni kazi sana nadhani ile kushika hela nyingi wanajikuta wanainhia tamaa
Pili utapeli na viini macho mimi nilidhapoteza hela mingi sana.
Wezi na ujambazi inabidi uajiri mlinzi tena wakampuni kwani vizi ukitokea kampuni inakuwa responsible.
Mkuu na Mi nipo kwny mchakato Wa kufungua mgahawa kuna vitu muhimu nahitaji kujua VP nije pm?Naunga mkono hoja, nafanya hii tena kwenye ka site kadogo tu ila inanitoa fresh na nilianza na ka mtaji kadogo.
Fundi simu unafungua vipi haliyakuwa wewe sio fundi?.Fungua Fundi Simu upate Pesa bila kuchoka
Hahaha acha utapeli..mbona unaambiwa useme unakua na hasiranimekuambia nitafute,hutaki acha.
Mkuu, ukweli ni kwamba watu wanaishi maisha ya kuigiza ..binafsi nilishhawah kuongea na edo aise anyway mkuu watu wabishi unawaacha tuUngesoma convo za nyuma ungeelewa,.kuna mtu alibisha kua huwez tengeneza profit ya lak3 kwa baishara ya mtaj mdogo,et had uwe na kuanzia 50mil au 60mil,mi ndo nkamjib hivyo aende akamuulize edo pale
Ushauri mzuri sanaMmh boresha iyo uliyo nayo kwanza itakuletea mfanikio zaidi
Pia mzunguko wake umedorola saana kutokana na hali ya uchumi wa nchi.Sure Mkuu
Hii biashara ni nzuri Ila ina changamoto hiyo..
We una mtaji kiasi gn?Ndio maana nikamwambia aje tufanye kazi, sio kumwambia aende akafanye mwenyewe, uwe unasoma vizuri nilichomwambia