Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Upo na msingi Wa Sh ngapi masee? Upo pande ipi? Utaran mwenyewe ama unategemea taaluma za wengine?
 
Biashara ya usafirishaji wa abiria hasahasa daladala; kwani lazima watu kila siku waende kazini kusaka ridhiki!! Cha msingi isiwe mbovu na upate dereva mwaminifu!! Issue nyingine biashara ya kuuza chakula pia na pombe, wabongo wana stress sana sasahivi akipata kidogo lazima ajipoze na nyagi au bia! Kazi kwako
 
Kilimo cha umwagiliaji
 
Sio kwa watanzania. Ni Waoga mno
Ni kweli mkuu nakuona hata wewe mwenyewe umeandika ulichoandika mlango umefunga vzr tundu la sealing board umeliacha wazi macho yapo dirishani kuangalia wanaopita.
 
Kabla ya yote anza kujipendekeza. Kuwa mnafiki wa kiwango cha SGR.
Wasifie sana Jiwe na Bashite bila kukoma.
 
Biashara ya kubet na kamari zingine zingne
 
Biashara yoyote halali kwa mujibu wa sheria za nchi
 
 
 
anzisha biashara ya kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kamali,utatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…