Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimo cha umwagiliajiWa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? [emoji17]
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Ni kweli mkuu nakuona hata wewe mwenyewe umeandika ulichoandika mlango umefunga vzr tundu la sealing board umeliacha wazi macho yapo dirishani kuangalia wanaopita.Sio kwa watanzania. Ni Waoga mno
Ao wanaouza hawana familia ?Faida yake itaweza endesha maisha ya familia? Kusomesha na kulipa bills?
Kabla ya yote anza kujipendekeza. Kuwa mnafiki wa kiwango cha SGR.Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Biashara yoyote halali kwa mujibu wa sheria za nchiWa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? [emoji17]
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔

anzisha biashara ya kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kamali,utatoboaWa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔