Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Biashara ya nafaka imekua dili sana haswa mahindi...nikikumbuka gunia lilifika elf 20 nachoka sana
 
Haaaa haaa
Anza kuchoma mbuzi na kuuza serengeti light kwa muromboo na hakika utatengeneza pesa nyingi tu...
a wewe wasema, pale sahiv ni shida, yamebebakia mabanda mawili tu ya mbuzi, wamasai wameshindwa kisa biashara hakuna
 
Gongo ya kulewesha waliofrastireti kwa dakika mbili tu na bangi ya kuvutwa kisiri bila harufu.
Hizi biashara nyingine za halali zimejifia kwa mauti ya kunyongwa!
 
Kila biashara inalipa inategemeana unaifanyia eneo lip coz biashara ni watu.
 
Transport, usafirishaji wa aina yeyote. Sijawahi ona mtu anakuja kukopa ili asafiri, na kila anayesafiri hukopa kabisa ili aje alipe cash.
 

Kaka, biashara pekee ambayo haina ugumu wa maisha ni "Pombe". Pesa iwepo watu watakunywa pombe, ikikosekana watakunywa pia kwa stress!
Kazi Kwako!
 
Biashara ya 'siasa za kinafki' inafanya vizuri sana kwa sasa mkuu!!
 
Mbadala wa mfuko wa Plastiki. Kuanzia tarehe 31/May 2019 ni mwisho wa matumizi ya Mifuko ya Plastic Tanzania. Hii ni fursa. Wasiliana nami tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…