Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kuchoma mbuzi na kuuza serengeti light kwa muromboo na hakika utatengeneza pesa nyingi tu...Nafuga bado ila na Hitaji kitu ingine ya kuingiza pesa
Forexnimejaribu kupita kusoma comments za watu nipate idea nimekwama[emoji17], cjui ni uchoyo wa idea au wote tumekwama..
Gongo ya kulewesha waliofrastireti kwa dakika mbili tu na bangi ya kuvutwa kisiri bila harufu.Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? [emoji17]
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Unaweza kutuwekea picha.Mifuko Rafiki wa Mazingira, mbadala wa Mifuko ya Plastiki. Inbox me please.
Hata mm nahitaji kujua hii kitu.Unaweza kutuwekea picha.
Transport, usafirishaji wa aina yeyote. Sijawahi ona mtu anakuja kukopa ili asafiri, na kila anayesafiri hukopa kabisa ili aje alipe cash.Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Hekima 0%Biashara ya kuhama upinzani na kurudisha kadi, hii unaweza kuifanya kila wilaya nchini na haina kodi.
Kweli kuna vitoto kizazi cha ovyo kabisaJF ya sasa hata Facebook Ina Afadhali
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?