Biashara Gani Ina faida Nzuri?

Biashara Gani Ina faida Nzuri?

Robb

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
61
Reaction score
84
Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
 
Swali gumu sana. Inategemea. Nijuavyo biashara zenye faida kubwa lazima ziwe kubwa pia. Je wewe una mtaji kiasi gani? Je ni biashara gani unadhani inaingiza faida kubwa?
 
Nunua vinguo vya watoto vya mitumba utembeze mitaan, ila jaman kama una wazo la biashara kwa mtaj wa elfu20 naona kama unatania vile!
 
Kuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo

  1. Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
  2. Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
  3. Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
  4. Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
  5. Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
  6. Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
  7. Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
  8. n.k.
 
yes! I think this is a great thinker ndo maana naipenda jamii forum. Thnx mkuu
 
Hiyo ya yutong arusha nifafanulie mkuu
 
Hiyo ya yutong arusha nifafanulie mkuu

Mkuu kwanza hakuna Yutong ya m100, kwa sasa zinafikia kwenye 240m, na hesabu yake kwa arusha gari itaondoka ubungo ikiwa imejaa na wastani wa sh 1m, ukitoa diesel ltr 170 + Posho+Njia=480,000, salio kwa siku inaweza kuwa arround 500,000, ila ujue iyo sio faida, biashara ya gari faida inapatikana baada ya kurudisha pesa yako ya kununulia basi ambayo kama gari haisumbui faida inaweza kuonekana baada ya miezi 18!

JoJiPoJi
 
Kuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo

  1. Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
  2. Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
  3. Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
  4. Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
  5. Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
  6. Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
  7. Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
  8. n.k.

We mbona umekurupuka???
Hivi unajua maana ya faida (profit)kweli??
 
Hujamuelewa mshikaji,elf 20 ni faida anayoitaka kwa siku kwa hiyo biashara anayoomba mmupe maushauri
 
Tuwe makini! Hajasema mtaji wa 20,000 kasema faida ya 20,000
 
Back
Top Bottom