Biashara gani inaweza kuingiza faida Tsh 3M kwa mwezi?

Biashara gani inaweza kuingiza faida Tsh 3M kwa mwezi?

Uza magari mkuu agiza kutoka japan IST passo crown huwez kosa M3 kwa mwez au jenga SGR kutoka dom had mwanza ukishusha tren zako za umeme aaah M3 kwa mwez nje nje au nunua roli kama 100 hv ziwe zinatoa mzigo bandarin kwenda nje ya nchi hapo M3 kwa mwezi bila stress, kwa mtaji wako biashara hizo zinakufaa
 
Mimi naingiza million hata 100 kwa siku sema hizo biashara ulizonitajia ni nagative sana idea
 
Hakuna biashara unayoweza kuhakikishiwa kwamba pato lake litakua constant kiasi fulani kila mwezi kuna muda pato linaweza kuwa juu zaidi au chini kidogo au ikawa palepale ulipolenga.
Hakuna mtu anaeweza kukuhakikishia kuwa biashara fulani utaweza kisa yeye ameweza, anzisha mwenyewe biashara yoyote angalia mzunguko wake ukishaujua mzunguko vizuri fanya estimation ongeza uwekezaji ambao utazalisha kiasi unachotaka
 
Back
Top Bottom