Biashara gani inaweza kuingiza faida Tsh 3M kwa mwezi?

Biashara gani inaweza kuingiza faida Tsh 3M kwa mwezi?

Njoo Geita kwenye biashara ya dhahabu mkuu, kwenye hii biashara unaweza kujiamulia wewe uwe unapata kiasi gani kwa mwezi, hata kama unataka bilioni moja kwa mwaka inapatikana ila kumbuka hii biashara ukiwa na pesa ndo unapata pesa.
 
Back
Top Bottom