King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu ushauri muhimu tuone nchi ya ahadi woteHauziwezi mkuu zinahitaji elimu na experience
MKUUU HIZO N ODDS 5mkiangalia movie pamoja
Loh
Everton U21 – Reading U21
Tips: Home @2.00
Benevento – Juventus U23
Tips: 1& over 2.5 @2.10
Wajasiriamali
Ni wewe umetoa mada au umedandia treniMimi naingiza million hata 100 kwa siku sema hizo biashara ulizonitajia ni nagative sana idea
Hii ni comment yenye akili sana na ni wachache sana wanaweza kuielewaUza magari mkuu agiza kutoka japan IST passo crown huwez kosa M3 kwa mwez au jenga SGR kutoka dom had mwanza ukishusha tren zako za umeme aaah M3 kwa mwez nje nje au nunua roli kama 100 hv ziwe zinatoa mzigo bandarin kwenda nje ya nchi hapo M3 kwa mwezi bila stress, kwa mtaji wako biashara hizo zinakufaa
Kwa hela gani sasa aliyonayo?Njoo tutunue mashamba tukate viwanja chapu tu
👋Uza magari mkuu agiza kutoka japan IST passo crown huwez kosa M3 kwa mwez au jenga SGR kutoka dom had mwanza ukishusha tren zako za umeme aaah M3 kwa mwez nje nje au nunua roli kama 100 hv ziwe zinatoa mzigo bandarin kwenda nje ya nchi hapo M3 kwa mwezi bila stress, kwa mtaji wako biashara hizo zinakufaa
Umemdharau aliekuuliza, umejuaje hana elimu na uzoefu.Hauziwezi mkuu zinahitaji elimu na experience
Weed na blow ni nini fafanua mkuu"I could show y'all how to juggle anything and make it double,Weed, blow, real estate, liquor sto' wit' no trouble" - TI Rubber Band Man (Grand Hustle).
Ukiweze kuwekeza kwende bold hapo utazipata.
Weed na blow ni nini fafanua mkuu