jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,530 Reaction score 9,550 Nov 3, 2024 #41 elia000000 said: Nifanye biashara gani itakayoweza kuniingizia faida ya 3M kwa mwezi. Naombeni ushauri Click to expand... The higher capital/investment The higher profit
elia000000 said: Nifanye biashara gani itakayoweza kuniingizia faida ya 3M kwa mwezi. Naombeni ushauri Click to expand... The higher capital/investment The higher profit
H Hamzatuni New Member Joined Dec 11, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Nov 5, 2024 #42 Njoo Geita kwenye biashara ya dhahabu mkuu, kwenye hii biashara unaweza kujiamulia wewe uwe unapata kiasi gani kwa mwezi, hata kama unataka bilioni moja kwa mwaka inapatikana ila kumbuka hii biashara ukiwa na pesa ndo unapata pesa.
Njoo Geita kwenye biashara ya dhahabu mkuu, kwenye hii biashara unaweza kujiamulia wewe uwe unapata kiasi gani kwa mwezi, hata kama unataka bilioni moja kwa mwaka inapatikana ila kumbuka hii biashara ukiwa na pesa ndo unapata pesa.
J jojipoji koromije JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 1,024 Reaction score 1,466 Nov 7, 2024 #43 Genius Man said: Mimi naingiza million hata 100 kwa siku sema hizo biashara ulizonitajia ni nagative sana idea Click to expand... Unachangmsha baraza.
Genius Man said: Mimi naingiza million hata 100 kwa siku sema hizo biashara ulizonitajia ni nagative sana idea Click to expand... Unachangmsha baraza.