MEK_TZ
Senior Member
- Apr 21, 2021
- 179
- 365
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya,
Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini.
Moja ktk harakati za utafutaji (Udalali), nimebahatika kufikia kiasi kadhaa Cha fedha 10M, changamoto ninayopitia mpaka sasa nimeshindwa kuiendeleza kutokana na kuwa sijajua nifanye biashara gani itakayo zalisha pesa kwa uharaka na bila maumivu makali.
Nimejaribu fatilia baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakilalamikia suala la tozo kuwa nyingi kwenye shughuli zao lakini pia haitoshi nikajaribi ingia kwenye kilimo jambo ambalo linahitaji muda wa ziada na utayari wa chochote ktk kuvuna au kupata hasara.
Natamani sana kufanya biashara na ni ndoto niliyokuwa nayo katika maisha yangu naomba maoni yenu, msaada, connection na elimu pia juu ya biashara.
#MEK