Honestly speaking....business idea nzuri ni ile unayogenerate wewe mwenyewe kichwani kwako especially ikiwa ndo unaanza kwa sababu utakua na natural desire ya kukamilisha na kuiendeleza hata ukikutana na changamoto utapambana nazo kwahyo nakushauri listen to your inner voice jitathmini mwenyewe
Business idea ya kushauriwa inafaa kwa watu ambao tayari wana biashara zao ila wanataka ku expand kwenye biashara zingine mfano mtu mwenyewe pharmacy akitaka kufungua biashara nyingine tofauti hapo anaweza kuomba ushauri kwa watu ni biashara gani afanye anaweza akashauriwa anunue bajaji aziweke barabarani au afungue restaurant na hapo yeye ndo ataamua afanye ipi na incase mambo yakaenda hovyo kwenye biashara mpya...pharmacy ipo inamlinda
Ila kwa wanaoanza na biashara za kushauriwa kuna risk kubwa sana ya kuangukia pua japokua wapo waliotoboa ila asilimia kubwa wanafeli..numbers don't lie kwahyo kuwa makini mkuu kila la kheri
Sent from my SM-A115F using
JamiiForums mobile app