Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

And This Will Still Cost You A Lot Of Money. Niamini Mkuu Watu Wamefanya Hayo Yote…..Lakini Wapi.

Siri Kubwa Kwenye Biashara Ya Trading, Ni Uwe WholeSaler…..Unazungusha Stock worth 30 M wholesale in a day ila profit unaweza pata 1 M au 1.3 M. Sasa Zingusha Stock Tena Na Tena. Utaona Utamu Wake, Hapo Lazima Maisha Yako Yabadilike. Ila Sio Ulangue Stock Ndogo Ndogo Hapo Utapata Hela Ya Kubadili Mboga Tu. Wafanya Biashara Wakubwa Wanafanya Both.

Amini Nakuambia.
Wholesalers na manufacturers ndo wanakula bingo in the business world

Sometimes nikiwa napita barabarani nakuona small retailers wanaouza vinywaji barabarani najisemea Moyoni hapa mzalishaji wa hivi vinywaji kashauza na kashasahau ila retailer ndo anahangaika nayo mtaani kuuza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nimeamini watu wengi hawana experience na biashara Zaid Sana wanazuona tu wala na kuanza kushauri
Huo mtaji ni mkubwa mno.

Kama upo dar nenda tegeta au jigamboni fungua duka kubwa la mabomba ya maji ya ndani na sanitari zake utakuja kunishukuru

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yani 10 mill afungue duka kubwa unalosema😅
 
Yani 10 mill afungue duka kubwa unalosema[emoji28]

Hajui Biashara Huyo Achana Nae….Mimi nimeshafanya biashara yani vitu kibao hadi nimedalalia scraper (vyuma chakavu) i seen many things.

Japo bado napambana ila ilifika muda nikiona mtu anaanza biashara yake mahali flani na ku zoom mazingira na ethics za huyo mtu i cud predict huyu mtu anafika mbali au la. Na 90% ya watu nliowa predict wata fail wali fail (Sijisifu ila ni yote kutokana na mitikasi ya ku hustle mtaani yani tafuta sana kujua vitu na misingi bora ya biashara imara ni zaidi ya kupewa mtaji 100M)

Kama kuna kitu namshukuru Mungu ni kuniwezesha kupata mtaji often wa kufanya biashara tofauti tofauti. Aisee i learned a lot.

Ukiona mtu amemiliki utajiri and yupo stable mpe heshima yake. Huyo mtu lazima yuko timamu mnoo mentally and spiritually.
 
Mkuu uza bangi yaani uwe pusha, puli moja la bongo shit ni 3k linatoa kete 20-25 ukiwa na kijiwe chako kizuri unaweza kuuza mapuli hadi 10-15 kwa siku, kete moja ni sh 500 kwa puli moja minimum utatoa 10000 ukiuza mapuli 10 kwa siku minimum utapata 100000 toa gharama za rizla, kali na mapuli 30000 unabaki na 70000, ukimlipa kijana anayebaki maskani kwa siku 10000 unabaki na 60000 take home sasa ukiwa na vitatu kwa siku hukosi 200000 take home, hapa nimeongelea bongo shit peke yake ukiweka na skunk kila gram unauza 2000 kwa siku unaweza kuuza hadi gram 50-100 ni pesa nzuri, muhimu ujenge connection kutuo cha polisi kilicho karibu na kijiwe chako, uwe na namba ya ocs na mkuu wa kituo bila kusahau namba za madereva wa difenda, utafanya biashara yako kwa amani kabisa, bangi sio kosa ni ukoloni tu na upumbavu, watu wanawateja wao hadi state House na wanaishi kama kawa, huu ni ushauri from experience japo kwa sasa sipo kweye line hiyo.
 
Hajui Biashara Huyo Achana Nae….Mimi nimeshafanya biashara yani vitu kibao hadi nimedalalia scraper (vyuma chakavu) i seen many things.

Japo bado napambana ila ilifika muda nikiona mtu anaanza biashara yake mahali flani na ku zoom mazingira na ethics za huyo mtu i cud predict huyu mtu anafika mbali au la. Na 90% ya watu nliowa predict wata fail wali fail (Sijisifu ila ni yote kutokana na mitikasi ya ku hustle mtaani yani tafuta sana kujua vitu na misingi bora ya biashara imara ni zaidi ya kupewa mtaji 100M)

Kama kuna kitu namshukuru Mungu ni kuniwezesha kupata mtaji often wa kufanya biashara tofauti tofauti. Aisee i learned a lot.

Ukiona mtu amemiliki utajiri and stable mpe heshima yake. Huyo mtu lazima yuko timamu mnoo mentally and spiritually.
Tatizo la watanzania wanaona kufungua duka ndo kufanikiwa , mtu hawazi kuwa manufacturer , ku export n.k .. ni vibiashara vya kuigana tuu sasa mitaani kila mtu kajenga fremu za maduka.. yani mtu akigundua mtu flani kafanya hivi anapiga hela basi kila mtu atataka kufanya.
 
Mkuu uza bangi yaani uwe pusha, puli moja la bongo shit ni 3k linatoa kete 20-25 ukiwa na kijiwe chako kizuri unaweza kuuza mapuli hadi 10-15 kwa siku, kete moja ni sh 500 kwa puli moja minimum utatoa 10000 ukiuza mapuli 10 kwa siku minimum utapata 100000 toa gharama za rizla, kali na mapuli 30000 unabaki na 70000, ukimlipa kijana anayebaki maskani kwa siku 10000 unabaki na 60000 take home sasa ukiwa na vitatu kwa siku hukosi 200000 take home, hapa nimeongelea bongo shit peke yake ukiweka na skunk kila gram unauza 2000 kwa siku unaweza kuuza hadi gram 50-100 ni pesa nzuri, muhimu ujenge connection kutuo cha polisi kilicho karibu na kijiwe chako, uwe na namba ya ocs na mkuu wa kituo bila kusahau namba za madereva wa difenda, utafanya biashara yako kwa amani kabisa, bangi sio kosa ni ukoloni tu na upumbavu, watu wanawateja wao hadi state House na wanaishi kama kawa, huu ni ushauri from experience japo kwa sasa sipo kweye line hiyo.
Segerea pagumu sana kuchomoka
 
And This Will Still Cost You A Lot Of Money. Niamini Mkuu Watu Wamefanya Hayo Yote…..Lakini Wapi.

Siri Kubwa Kwenye Biashara Ya Trading, Ni Uwe WholeSaler…..Unazungusha Stock worth 30 M wholesale in a day ila profit unaweza pata 1 M au 1.3 M. Sasa Zingusha Stock Tena Na Tena. Utaona Utamu Wake, Hapo Lazima Maisha Yako Yabadilike. Ila Sio Ulangue Stock Ndogo Ndogo Hapo Utapata Hela Ya Kubadili Mboga Tu. Wafanya Biashara Wakubwa Wanafanya Both.

Amini Nakuambia.
Kuna retail nyingi tu za kawaida zinauza hadi 2m kwa siku..na mzigo wanachukua sehemu wanazouza bei ya chini na retail price ni karibia na mara mbili ya bei aliyonunulia kwa dawa nyingi..

Sasa how comes useme hii hailipi?.
 
Fanya Uzitaje Watu Hapa Wajifunze Ikiwemo Mimi Perhaps Kuku Challenge Pia.
 
Siwezi kutaja..nalinda privacy za watu.

Mimi ni superintendent..kwahiyo ninachokuambia nina uhakika nacho.

Baadhi ya retail zinafanya poa sana kwa kuwa tu wapo position nzuri na stock wanacheza nazo vizuri.

Huwezi kufanya tu mjumuisho kuwa retail pharmacy hazitengenezi faida.
 
HaHaHa kwamba ukitaja aina ya biashara utakua ume expose wamiliki wa hzo biashara ?? Bro retailers wenye mauzo ya 2M amini faida zao hazizidi 10% - 15% ya hzo sales nnje ya hapo kuna magumashi ya kutisha kwenye hyo biashara.

Na hapo bado ana expenses na obligations za kutosha on running that business. I know the retail business in and out…..labda kama location ya biashara ni yao so halipi rent na staff ni family oriented so hakuna wages and salaries.

Otherwise Big NO.
 
Retail business ni pasua kichwa , hutoboi nakwambia ,labda uwe mtu wa Magumashi kama kuuza fake , kukwepa rungu la TRA ,pango nk
 
Haijalishi wewe ni muislam au msabato nenda mbeya/Kilimanjaro kanunue nguruwe wazima wasafirishe mpaka dar fungua vijiwe viwili anza kuuza,dar kg ya nguruwe ni 12k-15k kutegemea na location sasa wewe usiuze bei hiyo uza kg 9k tu halafu tafuta mpishi mzuri
Ndani ya miezi 6 utaleta majibu
We jamaa
 
Wholesalers na manufacturers ndo wanakula bingo in the business world

Sometimes nikiwa napita barabarani nakuona small retailers wanaouza vinywaji barabarani najisemea Moyoni hapa mzalishaji wa hivi vinywaji kashauza na kashasahau ila retailer ndo anahangaika nayo mtaani kuuza

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Manufacturer anamtegemea retailer na retailer anamtegemea manufacturer
 
Mkuu uza bangi yaani uwe pusha, puli moja la bongo shit ni 3k linatoa kete 20-25 ukiwa na kijiwe chako kizuri unaweza kuuza mapuli hadi 10-15 kwa siku, kete moja ni sh 500 kwa puli moja minimum utatoa 10000 ukiuza mapuli 10 kwa siku minimum utapata 100000 toa gharama za rizla, kali na mapuli 30000 unabaki na 70000, ukimlipa kijana anayebaki maskani kwa siku 10000 unabaki na 60000 take home sasa ukiwa na vitatu kwa siku hukosi 200000 take home, hapa nimeongelea bongo shit peke yake ukiweka na skunk kila gram unauza 2000 kwa siku unaweza kuuza hadi gram 50-100 ni pesa nzuri, muhimu ujenge connection kutuo cha polisi kilicho karibu na kijiwe chako, uwe na namba ya ocs na mkuu wa kituo bila kusahau namba za madereva wa difenda, utafanya biashara yako kwa amani kabisa, bangi sio kosa ni ukoloni tu na upumbavu, watu wanawateja wao hadi state House na wanaishi kama kawa, huu ni ushauri from experience japo kwa sasa sipo kweye line hiyo.
We jamaa bana
 
Siwezi kutaja..nalinda privacy za watu.

Mimi ni superintendent..kwahiyo ninachokuambia nina uhakika nacho.

Baadhi ya retail zinafanya poa sana kwa kuwa tu wapo position nzuri na stock wanacheza nazo vizuri.

Huwezi kufanya tu mjumuisho kuwa retail pharmacy hazitengenezi faida.
Kuna siku nimeenda nunua dawa duka la mtaani ile dawa nikaambiwa ni 15000 na hawauzi Nusu

Nikaenda Heko Pharmacy KKOO nikainunia kwa 7000
Vidonge vingine wakaniandikia 28000 wale Mdee pharmacy nikakuta Heko wanauza 14000
 
Mkuu uza bangi yaani uwe pusha, puli moja la bongo shit ni 3k linatoa kete 20-25 ukiwa na kijiwe chako kizuri unaweza kuuza mapuli hadi 10-15 kwa siku, kete moja ni sh 500 kwa puli moja minimum utatoa 10000 ukiuza mapuli 10 kwa siku minimum utapata 100000 toa gharama za rizla, kali na mapuli 30000 unabaki na 70000, ukimlipa kijana anayebaki maskani kwa siku 10000 unabaki na 60000 take home sasa ukiwa na vitatu kwa siku hukosi 200000 take home, hapa nimeongelea bongo shit peke yake ukiweka na skunk kila gram unauza 2000 kwa siku unaweza kuuza hadi gram 50-100 ni pesa nzuri, muhimu ujenge connection kutuo cha polisi kilicho karibu na kijiwe chako, uwe na namba ya ocs na mkuu wa kituo bila kusahau namba za madereva wa difenda, utafanya biashara yako kwa amani kabisa, bangi sio kosa ni ukoloni tu na upumbavu, watu wanawateja wao hadi state House na wanaishi kama kawa, huu ni ushauri from experience japo kwa sasa sipo kweye line hiyo.
Nimependa ulivyo jitoa kwenye msala kininja. Kwamba "kwa sasa siko kwenye line hiyo." [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom