kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Ulicho ongea ni kweli mnooo. Kuna jamaa mmoja kaenda kwa wakala mkuu wa gas y kupikia orex kampuni ni copa gas kisha kanunua vikirikuu vingi kinoma ananunua gas kwa copa gas kisha yy ndio anaingia kuwa uzia mawakala wadogo anakimbiza balaaa.Employed / Self Employed ??
Muda wako umekaaje, can u devote atleast 8 - 10 hours a day on your business ??
Mfano mi ukinipa hyo natafuta canter used (box body) au canter ya mizigo hizi za tonne 2 engine 4D33….used najua naweza ipata kwa 9 - 12 M naiweka sawa na kuinyoosha kwa kama 3 M hivi jumla 15 M….naanza nayo kubeba mizgo ya watu ya samaki kupeleka airport kusafirishwa…..(and other stocks as well)
Yani inshort deal na logistics kuna madeal mengi yatafunguka hasa ukiwa na mtaji mkononi wa kununua bidhaa flani ambazo unajua nikitoa point A nikipeleka point B kuuzwa mzigo haukai iwe vifaa vya hardware, sijui vyakula sijui stock za madukani yani huwezi kosa ma deal hasa kama una capital na kumbuka hata kubeba stocks za watu wengine kuna mambo na siri zao za trading utasanuka tu na kupata margins flan ukiwa serious (mwishowe yale yale michezo ya wholesale biz techniques).
Yes kwa kuanza gari endesha mwenyewe.
Mpk copa gas wakala mkuu kamwachia baadhi ya maeneo jamaa awe anauza yy tu.Na mwisho w mwaka copa gas anampatia jamaa commission a lot of money. Kwakua ni mteja wake mkubwa. Ss nasikia jamaa anatafta Canter kuongeza mauzo yake kutoka vikirikuu.