Biashara gani mtu anaweza kufanya kwa mtaji wa 10m?

Biashara gani mtu anaweza kufanya kwa mtaji wa 10m?

Mkuu nakushauri Fanya hiyo hiyo iliyokupa 10m
Je, kama ni pesa za urithi?
Au ndo aendelee kufanya hiyo hiyo, urithi. 🤔

Je, kama kapewa mgawo wa familia?

Je, kama kajitunzia akiba yake for so long kwenye ajira, na sasa anatafuta additional way ya kupata another income ili awe na sources mbili za income?

Je, kama hizo 10m zilikuja kwa bahati nasibu? au unamshauri acheze tu bahati nasibu mpaka ziishe. 🤔
 
Back
Top Bottom