min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
WatajeILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
WatajeILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
Wewe upo period? Sasa kama kapewa je? Au kauza shamba? Sio kila mada uwe unajibuMkuu nakushauri Fanya hiyo hiyo iliyokupa 10m
🚮Wewe upo period? Sasa kama kapewa je? Au kauza shamba? Sio kila mada uwe unajibu
Lakini mkuu uliandikaga uzi ukitafuta mume au sio weweILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
😂😂😂😆😆 kheeee na wenyewe wamekuwa je siku hiziILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
Nafikiri sio mume ni kaka 🤔 ulielewa vibaya tuuLakini mkuu uliandikaga uzi ukitafuta mume au sio wewe
Naomba nionyesheLakini mkuu uliandikaga uzi ukitafuta mume au sio wewe
je ikiwa sufuri sufuriAnaweka over 0.5 tu anachagua game moja tu atakula kila siku
Nafikiri sio mume ni kaka
KasahauLakini mkuu uliandikaga uzi ukitafuta mume au sio wewe
Uzi uishie hapahapa.Mkuu nakushauri Fanya hiyo hiyo iliyokupa 10m
Mbona ndogo sana [emoji1]Mna fanyaje fanyaje kupata hela zote hizo [emoji16]
Labda ni wale wanaotaka kua kaka ako wa hiari 😀ILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
hawa ndo tunaowataka hawaMna fanyaje fanyaje kupata hela zote hizo 😁
Sasa mkuu kama hajui hata pakuiweka hiyo 10m so itazama kabisaJe, kama ni pesa za urithi?
Au ndo aendelee kufanya hiyo hiyo, urithi. 🤔
Je, kama kapewa mgawo wa familia?
Je, kama kajitunzia akiba yake for so long kwenye ajira na sasa anatafuta additional way ya kupata income nyingine ili awe na sources mbili za income?
Je, kama hizo 10m zilikuja kwa bahati nasibu? au unamshauri acheze tu bahati nasibu mpaka ziishe. 🤔
Wataje😆ILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???
Wazee wa vitonga 🤣ILA KUNA WATU WANACHEKESHA SANA BAADA YA HUU UZI, WATU WAMEJAZANA INBOX KUNIAMBIA KAMA NAHITAJI MWENZA KWENYE MAHUSIANO WAO WAKO TAYARI
WAPI NIMESEMA NATAFUTA MWENZA ???