G
tunabet 😎Mna fanyaje fanyaje kupata hela zote hizo 😁
JamaniHiyo tunakua ma billionaire ila ideas siwezi kukuwekea Bure hapa inabidi ujifunze industry yoyote na uwekeze kujijengea mtandao hata miaka mitano kwenye hiyo industry husika
Je, kama ni pesa za urithi?Mkuu nakushauri Fanya hiyo hiyo iliyokupa 10m
Huo ndio UKWERIIII in JPM VOICE ☺️Jamani
Zipo nyingi sana mchawi location tu yaan ukipata good location huo mtaji ni mkubwa mnoAngalau upate faida 50k perday
Kwa jiji la Dar es salaam
MamaaaaTafuta odds 1.05 utaingiza 500K per day
Anaweka over 0.5 tu anachagua game moja tu atakula kila sikuMamaaaa
Huyo masikini tayari.
Tanzania kushinda ana point 1.15, kapgwa na kile kitimu... BURE KABISA
Naunga mkono hojaMkuu nakushauri Fanya hiyo hiyo iliyokupa 10m