Biashara gani mtu anaweza kufanya kwa mtaji wa 10m?

ina maana mkuu hujaziona biashara zote hizo mtaani? maduka ya nguo, vyakula, vinywaji, car wash, nafaka, migahawa, hardware, salun, n.k

mitaji yake inarange kwenye hiyo hela yako mkuu na hizo zote zina faida ndo maana watu wanafanya

otherwise unataka wana jf tukutafutie biashara mpya kutoka mbinguni au motoni
 
Sasa mkuu kama hajui hata pakuiweka hiyo 10m so itazama kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…