Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 303
Nashukuru Mkuu kwa wazo zuri..Muda mfupi ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi? Kwa 15m unaweza enda kununua vitunguu maji gunia 300 mwezi wa 8-9, unavitunza hadi December. Wakati wa kuuza hutokosa 50,000 kama faida kwa kila gunia, so you are likely to make between 12-14m kama faida. VIGEZO NA MASHARTI YAZINGATIWE.
na awe makini maana walimwengu sasaivi hawamjali mtu.Nipo kaka majukum tu ndugu yangu,ila nipo.
Wewe ndio umeadimika Zaidi
Naona jamaa anapesa ila hajui afanye nini,ndio namshauri kabla hajatapeliwa hapa aende kwenye sticky uzi kule kuna maelezo ya kila mradi na umeelezwa kwa kina sana.
Duh, watu tuna mawazo kibao ila hatuna mitaji....
huku watu wana mitaji but hawana mawazo.
kweli tunatofautiana
Ila mkuu usiwe na pupa ya kutaka mafanikio ya mda mfupi, jifunze kuwa na subira na tulia ukiwa unafkiria nn cha kufanya.
Muda mfupi ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi? Kwa 15m unaweza enda kununua vitunguu maji gunia 300 mwezi wa 8-9, unavitunza hadi December. Wakati wa kuuza hutokosa 50,000 kama faida kwa kila gunia, so you are likely to make between 12-14m kama faida. VIGEZO NA MASHARTI YAZINGATIWE.
Ningeweza kuyauza but yanaitaji kidogo mtu alie na kauproffessional ka uhandisi wa umeme au machenical......Anza kuuza mawazo yako basi.
Huo ujuzi sio shida.Ningeweza kuyauza but yanaitaji kidogo mtu alie na kauproffessional ka uhandisi wa umeme au machenical.
it is very easy to make money when you have money.
Nakushauri nenda kanunue bond pale nmb bank kwa kutumia huo mtaji wako .. nd utakua unalipwa 13% kila mwezi .. so hela yako itakua safe haupati hasara zaid ya kupata faida ..
Hii ikoje mkuu?...Upo serious?...Ni kweli unaweza weka hela afu ukawa unapata faida ya 13%Kila mwezi?
Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaikaHii ikoje mkuu? Upo serious? Ni kweli unaweza weka hela afu ukawa unapata faida ya 13%Kila mwezi?