Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaika ..

Mkuu hizi bonds wanaziuza kila siku au kuna muda wake maalumu?
 
Ndio hizo bond wanazo ziuza kila siku .. tena wanatoa mbka kwenye gazeti .. unajua bond ipo tofaut na fixed deposit ..
Bond inakua na interest kubwa na ni kipindi bank wanahitaji hela yako kwajili ya kazi zao .. fixed deposit interest yake inakuaga 4%
 
Bob mie cjawahi kuona biashara una enjoy profit kma hiyo .. huna headache
 
Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaika ..
Interest 13% si kwa mwaka?
 
Tulia kipindi hiki kigumu watu wametulia....kapige hiyo ya benki jamaa anashauri au nunua hisa au kalime matunda yanalipa matikiti kodi shamba hudhuria semina. Inahitaj uvumilivu na utulivu sana
 
Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaika ..

Mkuu, this is too good to be true! Sidhani kama umelielezea hili kwa usahihi. Interest rate haiwezi kuwa 13% kwa mwezi; it must be 13% per annum. Kwa maneno mengine, hakuna taasisi ya kifedha Tanzania inayoweza kukulipa riba ya takribani 156% kwa mwaka ilhali yenyewe inaweza kuikopesha kwingine hiyo hela kwa riba ya only 16% - 20% kwa mwaka.
 
Yah unaweza .. mie ndio kitu nachokifanya .. kama mwezi ukiopita nilinunua bond ya 10 million na naenjoy profit ya 1.3 million ya kila mwezi .. wanakua wanakupa interest .. ila hiyo interest unapewa kila after 6 month .. yani 1.3 zidisha mara miez sita .. mbna zipi biashara ambazo hupati hasara .. na wala haitaji unahangaika ..
Great idea
 
Back
Top Bottom