Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

Mkuu hiyo biasahara ulifungulia kahama? Na ilikuwa sehemu gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aloo [emoji2][emoji1787]
 
Kama unaweza fanya biashara ya boxer, Kuna boxer zikuhizi zinavaliwa na wadada na wakaka, Kuna boxer za BSG na Timberland zinakamba zinakaa PC 12 kwenye dozen 1 hizi boxer ni chambuu,( hazifanani rangi) ukichukua kuanzia dozen 10 wanakuuzia kwa 380,000 Ina maana utapata dozen 1 kwa sh 38,000 sawa na 3,167 kwa PC 1, Hivyo utapata PC 120 ukiuza Kila PC 1 sh 5000 bei ya boxer ya kawaida kabisa mtaani utapata sh 600,000. Utapata faida ya 220,000 biashara hii unaweza hata ukanya online kwa kupost kama status kwenye Whatsapp yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ