Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Kama kazi gani? Elimu ni muhimu kijana. Kama huna elimu inabidi uende ziwani utege vinginevyo ... pole sana
 
Tunatumia Mbegu Za Asili ... Tumekodi Mashamba Maeneo Ya ... Bulela ... Nyawilimilwa ... Na ... Kagu ...
Una kodi Bei gan kwa ekari, vpi wizi huko?!
Ukilima hekari moja mpaka kuvuna na kuuza faida ni kiasi gn!?
Vp kuhusu utunzji!? Msghala hapo!?
Bei gani kutunza kwa gunia!?
 
Kuna kuona fursa na kuambiwa fursa, what matters is profit in the business, pia kuona fursa ya eneo husika hutegemea namna gani unalijua hilo eneo vizuri.
Hata ukiambiwa fursa bado utahitaji kuiona hiyo fursa! Na pia kumbuka kwamba fursa kwangu inaweza isiwe fursa kwako ndio maana ya huo msemo "Fursa unaiona siyo kuambiwa"
 
Nstafuta kazi mwsnza yoyote ile
Ni kupitia kuwa na simple blog tu ambayo utaweka habari au chochote unachopenda then hiyo post yako utaisambaza kwenye mitandao ya kijamii kama facebook.... pale watazamaji watakavyoingia utajipatia pesa

Kampuni ya google adsense ndio itakayokulipa kutokana na matangazo yao kuonekana kwenye blog yako...

Kama unafahamu vizuri mambo ya komputa utaanza fursa hii bila kutumia hata sh mia kwani utafungua blog na kisha utajisajilo kwenye website yao...

Lakini kama mambo ya internet hufahamu vizuri basi tutakuelekeza namna ya kufanya kwa gharama nafuu sana.


Karibuni 0713774746[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom