Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Biashara gani naweza kufanya Mwanza?

Kuna kuona fursa na kuambiwa fursa, what matters is profit in the business, pia kuona fursa ya eneo husika hutegemea namna gani unalijua hilo eneo vizuri.

Ukiona fursa ni tofauti na kuambiwa.

Huwezi kuiga idea, invent yours.

So that you may grow with it.
 
Ukiona fursa ni tofauti na kuambiwa.

Huwezi kuiga idea, invent yours.

So that you may grow with it.

Mkuu tambua tofauti iliyopo kati ya ujasiliamali na kufanya biashara.
Jua tu sipo kwenye entrepreneurship, nataka fanya biashara kwa hiyo fedha iweze izunguke ikue. Fursa za entrepreneurship zipo hata hapa dsm, na nazifanyia kazi, ila nishazoea kujiongezea kipata, sasa hata huko nnapoenda nataka jishughulisha zaidi ya ajira inayonipeleka.

Jua kwamba kuona fursa hadi kufanyia implementaion ya hiyo fursa it takes time and there are failure chances and am not into that, atleast for now. Though kama ntavutiwa na kitu nikiwa huko ntajua mwenyewe maamuzi ntayochukua.
 
kwanza karibu sana Mwanza anzisha microfinance inalipa sana hapa Mwanza hasa wekeza kwa kina mama kupitia vikundi vyao CBO
 
Mkuu tambua tofauti iliyopo kati ya ujasiliamali na kufanya biashara.
Jua tu sipo kwenye entrepreneurship, nataka fanya biashara kwa hiyo fedha iweze izunguke ikue. Fursa za entrepreneurship zipo hata hapa dsm, na nazifanyia kazi, ila nishazoea kujiongezea kipata, sasa hata huko nnapoenda nataka jishughulisha zaidi ya ajira inayonipeleka.

Jua kwamba kuona fursa hadi kufanyia implementaion ya hiyo fursa it takes time and there are failure chances and am not into that, atleast for now. Though kama ntavutiwa na kitu nikiwa huko ntajua mwenyewe maamuzi ntayochukua.

Then i wish you best of luck.
 
Nina idea ya kufungua restaurant hapa mwanza na kama iki fail nina idea nyingine ya vitafunwa kama upo serious tutafutane tuongeze nguvu tufanye kazi
 
Nguruwe kilo wanauzaje machinjioni huko?
Pia upatikanaji wake upo vipi kwa sasa?
Maeneo gani ni mazuri kwa ufugaji wa nguruwe?
Vipi wizi wa Nguruwe huko?

GEITA FARM
Bei Ya Kilo 4500 - 6000 ... Inategemeana Na Wewe Mwenyewe Unataka Kufugia Maeneo Gani ... Kuhusu Wizi Ni Kuimarisha Ulinzi Tu ...
 
Mwanza ni mji pendwa na unaokuwa kwa kas sana.
Mwanza kila biashara ukiweza mahala hisika na kwa uzito bila kubabaisha masoko yako mengi.
Any away karibu SNA mwanza nipm no yako tuonane tupeane fursa
 
Habari wakuuu

Naimani humu kuna figher kibao wa fursa mbalimbali

Leo nawaletea fursa ya kutengeneza pesa kupitia mitandao ya kijamii.

Ni kupitia kuwa na simple blog tu ambayo utaweka habari au chochote unachopenda then hiyo post yako utaisambaza kwenye mitandao ya kijamii kama facebook.... pale watazamaji watakavyoingia utajipatia pesa

Kampuni ya google adsense ndio itakayokulipa kutokana na matangazo yao kuonekana kwenye blog yako...

Kama unafahamu vizuri mambo ya komputa utaanza fursa hii bila kutumia hata sh mia kwani utafungua blog na kisha utajisajilo kwenye website yao...

Lakini kama mambo ya internet hufahamu vizuri basi tutakuelekeza namna ya kufanya kwa gharama nafuu sana.

Karibuni 0713774746
 
Back
Top Bottom