Mkuu tambua tofauti iliyopo kati ya ujasiliamali na kufanya biashara.
Jua tu sipo kwenye entrepreneurship, nataka fanya biashara kwa hiyo fedha iweze izunguke ikue. Fursa za entrepreneurship zipo hata hapa dsm, na nazifanyia kazi, ila nishazoea kujiongezea kipata, sasa hata huko nnapoenda nataka jishughulisha zaidi ya ajira inayonipeleka.
Jua kwamba kuona fursa hadi kufanyia implementaion ya hiyo fursa it takes time and there are failure chances and am not into that, atleast for now. Though kama ntavutiwa na kitu nikiwa huko ntajua mwenyewe maamuzi ntayochukua.